Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

Nchi Yako na Urusi ipi tajiri?
Hujawahi hata kufika huko Urusi unaleta habari za kusikia?
Taifa lako maskini mmekalia kusifu wanasiasa unaijadili Urusi! Serious?
Ni kweli Tanzania ni masikini wa kutupwa sijawahi kupinga hilo.

Hata maelezo ya hiyo video fupi yamegusia mfano wa nchi kama Tanzania na hali yake pamoja ya utitiri wa rasilimali iliyo nayo.

Kwani hutaki Urusi kujadiliwa ?
 
Video fupi
View attachment 3177155

Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
Indonesia imeingia G20 na ni katika nchi zinazo kua kwa Kasi sasa hivi, wanatumia Rasilimali zao za asili kama Source kubwa ya mapato.

Nchi za Gulf, Ulaya ya Kaskazini kama Norway etc wote wametoboa kwa kusimamia vizuri Rasilimali zao, so inawezekana ukawa na Rasilimali na pia ukatoboa.
 
Hata China na Marekani maendeleo yapo mikononi mwa watu wachache maendeleo ya Nchi ni madogo,
Marekani, China na Urusi hazipo kwenye uzani na Urusi kimaendeleo makubwa ya kiuchumi.

Maendeleo gani unayo zungumzia
 
Indonesia imeingia G20 na ni katika nchi zinazo kua kwa Kasi sasa hivi, wanatumia Rasilimali zao za asili kama Source kubwa ya mapato.

Nchi za Gulf, Ulaya ya Kaskazini kama Norway etc wote wametoboa kwa kusimamia vizuri Rasilimali zao, so inawezekana ukawa na Rasilimali na pia ukatoboa.
Urusi hakupaswa awepo alipo.
 
Back
Top Bottom