Kwa nini Waarabu hawapendi kuwa na mahusiano na watu weusi?

Hawataki asili Yao ipotee kimaumbile kama rangi, nywele pua, mwarabu akizaa na mtu mweusi kitoto kitatoka mixer asili Yao inapotea
 
vipi kuhusu yule mke wa myoto wa mfalme alie oa mtu kutoka nje ya ufalme kabisa tena ni masikini
 
Huyo monkey toka kwa wapopo alienda na akili za kutomba tu huko wajichanganye awaibie.
Ndio watakuua kweli,maana we huna akili hutulizi kichwa ubongo umejaa shahawa tu.
Kuna mmoja aliwai kumwambia demu mmoja (Greece) alikua mcheshi sana msomi doctorate.
yule lofa kaanza kufikiri kutomba,tena ile kinganganizi kabisa,mtoto wa watu akawa hayuko comfortable na kazi.
Tena anamwambia kabisa "lets go *** later"after job.
Demu kanishtakia.
Demu alikua rafiki yangu yaani tukiwa kazini atacheka mpaka anaanguka utani wangu(sikuwai kumtongoza)
Bahati nzuri nilikua na Kanafas fulani nikamtupa yule mpopo branch ingine.
Hapo nishamsomesha sanaa apunguze spidi haelewi.
Huko kwingine tena nikakuta demu mwingine mspaniola( ana masters ya economy toka kwao)kazi ni extra.
jamaa anakomaa nae.
Mi nshapiga sana story na huyo mtoto ni mke wa mtu na watoto wawili.
Huyu bwege kang'ang'ana tena huko.
Aisee nikampa onyo kwamba upo kazini we jamaa hujaja kutongoza hapa sio night club.
Mara ya 3 ilibidi tu tumwondoe ilikua aibu.
 
Wako sahihi, kwenye jamii yetu ni marufuku kuoa nilotics (oa at your own risk utahesabika kam huna mke na utadharaulika mno).
 
Hata kusalishwa msikitini mtu mweusi marufuku kwasababu hawauamini uislamu wake
 
Hii inahusisha kuoana tu au hata kimasihara?
Wabulushi nao ni kundi la waarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…