Mbona dini zetu mbili pia zilikuwa zinaruhusu utumwa ila mmeamua kuachana na utumwa na kuupiga marufuku kabisa??Kuna tofauti ya kuabudiwa na kuheshimiwa!! Anayeabudiwa ni Mungu pekee!!
Tatizo vijana mnajifunza dini, mnazijua dini kuzifuata hamtaki!! Dini zote zinatamka mwanamke ataolewa, atakwenda kuishi kwa mumewe na atakuwa chini ya himaya ya mumewe kwa kutii na kuheshimu matakwa ya mumewe!!
Maandiko mengine yakaenda mbali zaidi kuwa mwanamke ni msaidizi wa mwanamume (sitamani kutaja dhehebu)!
Sasa wewe katika hali ya kawaida msaidizi wako unataka akupande kichwani??
Ukiachana na hayo!! Waafrika tuna utamaduni wetu uliofanya maisha yaheshimike, yawe na thamani, yaweke mipaka ya mke na mume ili kuepusha migogoro!! Mnaona hayo maisha hayafai bora kulawitiana na kusagana!!
Endeleeni na harakati vijana, ushauri wangu kwenu wacha nyekundu iwe nyekundu na nyeupe ikawe nyeupe!! Hakuna anayetaka kuabudiwa, wacha mwanaume asimame kama mwanaume na mwanamke asimame katika nafasi yake!!
Usioe mwanamke ukamzoea mzoea usijenge mazoea na mwanamke ambae umri wenu ni hapa na hapo yeye ghafla atakua mkubwa zaidi kuliko wewe, yaan mtoto wa kike wa miaka 7 na mtoto wa kiume wa miaka 7 hawa watoto hawafanani, uwezo wa mtoto wa kike wa miaka 7 wa kufikiri ni sawa na mtoto wa kiume mwenye miaka 17 mpaka 20. Km unabisha bisha ila ndio ukweli huo umepewa.Ngoja waje
Mkuu umeoa? Knachosemwa ni heshima na siyo kuabudu. Of course heshima inatakiwa iwe ya pande zote, lakini kwa asili yetu mwanamke ana nafasi ya pekee kwenye hili jambo. Jamaa yangu alikuwa na ex wake, hamnazo hivi, siku moja around saa 1 jioni wakapitia bar kupata kinywaji. Wakakutana na marafiki zao wakajumuika. Baada ya lisaa limoja akampa mumewe amri kwa sauti ''baba ......, chukuwa hizi chips wewe wahi nyumbani watoto wasije lala kabla ya kula, mimi bado naendelea''.
Na nyie wanawake mnatuonaje sisi wanaume?
Kumbe siku hizi ukimuheshimu mtu basi umemuabudu?ww jamaa una akili za kipumbavu.
Kabiiiiiiisa lo