Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

Huwa sielewi mwanaume kuandika mada ya kuuliza maswali kuhusu wanaume, ina maana yeye ameleft group au!?
 
Katika izo screenshot ulizoambatanisha kwenye post yako sijaona popote ambao hao jamaa wameonesha kutaka kuabudiwa. Infact wapo sahihi kabisa, wamesema baadhi ya strategies za kufanywa na mwanaume ili ku-maintain nafasi ya uongozi katika mahusiano/ndoa.
 
Wanawake wenyewe wanapenda wanaume ambao hawapelekeshwi.

Kwani huwasikiagi wanavyosema wanapenda wanaume wakali?
 
Ni madhara ya utumwa ule wa enzi za mkoloni.
Vile wakoloni walivyokuwa wanataka tuwaabudu na kuwasujudia enzi hizo basi hii imewaingia wanaume wa kiafrika na wao wanatafuta mtu wa kumnyanyasa.

Ni sawasawa na mtoto ambae ameshuhudia baba yake akimkatili mama yake kwa kipigo, mara nyingi hutokea huyo mtoto akawa hivyo hivyo kwa mke wake hapo baadae
 
Heshima na kuabudu ni vitu viwili tofauti na wala havina uhusiano.
Kwa hiyo ww uko tiyari kuishi na mwanaume asiye kuheshimu ww na familia yako?
 
Ukiona unaomba omba sana kuheshimiwa jua haustahili hiyo heshima......
Heshima huwa ni wajibu kutokana sehemu husika ulipo.
Huwezi kataa kumuheshimu mmeo alafu wakati huo huo unataka kuendelea kuishi na mwanaume huyo.
Leo hii Majaliwa hawezi kataa kumuheshimu Samia alafu wakati huo anataka aendelee kuwa waziri mkuu.

Kama mtu unaona hastaili kutapa heshima yako huna haja ya kukubali kuwa mmeo au mkeo.
 
Heshima na kuabudu ni vitu viwili tofauti na wala havina uhusiano.
Kwa hiyo ww uko tiyari kuishi na mwanaume asiye kuheshimu ww na familia yako?
Binadàmu yoyote yule anahitaji kuheshimiwa haijalishi umri jinsia wala cheo.
Tatizo la wanaume wengi wanachukulia kuheshimiwa ni kunyenyekewa hata kwa vitu ambavyo havimake sense.
Ukimuheshimu mtu na yeye atakuheshimu lazima.
 
Kama kumheshimu mumeo kwa maneno na hata matendo USIOLEWE.Wewe zaa na ulee watoto wako mwenyewe
 
Heshima huwa ni wajibu kutokana sehemu husika ulipo.
Huwezi kataa kumuheshimu mmeo alafu wakati huo huo unataka kuendelea kuishi na mwanaume huyo.
Leo hii Majaliwa hawezi kataa kumuheshimu Samia alafu wakati huo anataka aendelee kuwa waziri mkuu.

Kama mtu unaona hastaili kutapa heshima yako huna haja ya kukubali kuwa mmeo au mkeo.
Heshima haiombwi ukiona unaomba omba kuheshimiwa jua haudeserve.....
 
Kama hujaumbiwa kuwa mke kaa kimya ishi na jeuri yako endelea na maisha
 
Kwanza toa mada AWAOMBE RADHI WANAUME WOTE kabla ya mada yake kujadiliwa kwani hakuna mwanamme anayetaka kuabudiwa hiyo sifa ya KUABUDIWA aachiwe Mungu pekee.
Suala la kupenda kuheshimiwa ni suala la wanaume wote duniani; japo litatofautiana kwa jinsi mtu anavyolichukilia.
Tatizo la wasichana wa kizazi hiki wamezoea kuona wale wanaume wa kwenye TV na kufikiri ndio tabia za wanaume wa kizungu na kwa sababu hawajawahi kutoka nje ya mpaka ndio basi tena....na wakishajua kuongea kizungu ndio wanajiona wamemaliza kila kitu....

Wazungu (Waingereza) kwa mfano, Mwanamke ndiye anapikia familia, na kuangalia taratibu zote za nyumbani bila kujalisha kama ameajiriwa japo mwanamme anaweza kusaidia hapa na pale.
ambapo ni sawa na sisi tu huku Africa
 
Back
Top Bottom