Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Karibu mtwara tufaidi watoto wa kimakonde kwa elfu 2 hadi kwa mkopo bila kujali ni msichana au mke wa mtu. Ila ukisha mtongoza au kumla atafanya matangazo mtaa mzima. Hawana siri
Aisee..
Sijawahi kufika huko Ntwara, nitapanga nifike mwaka huu inshaalah
 
Population ya watu lindi sio kubwa

Pia kuna wilaya nyingine km mtama nachingwea na liwale ni

Population ya lindi nafikiri haizidi milion moja mkoa wote

Sehemu kubwa ya lindi ni mapori tengefu
Ukiwataja watu wa Lindi majority huko ni Waislamu mkuu kua makini Misikiti ni mingi kuliko makanisa 90% nyumba za Ibada ni Misikiti ikifuatiwa na Kilwa na Mafia sijui ni Mkoa au ni Wilaya
 
Ila kweli mana ikitajwa mikoa maskin sn haipo utaskia kagera katavi tabora mara rukwa
Hii orodha huwa inashangaza sana..

Kwamba kinara wa umaskini wa kutupwa, wenye umaskini uliotopea nchini si wengine, bali ni akina Rutashoborwa, Rweyemamu, Rutayisingwa, Mutakyawa, Mulokozi..🤣

MIKOA 10 MASIKINI ZAIDI TANZANIA
GDP per Capita in Thousand Tsh.
1. Kagera - 1,168,661
2.Kigoma - 1,479,389
3.Singida - 1,622,891
4. Dodoma - 1,759,347
5. Tabora - 1,777,039
6. Shinyanga 1,887,800
7. Songwe 2,117,414
8. Pwani 2,251,254
9. Mara 2,583,020
10. Katavi 2,478,206
Chanzo : NBS
 
Sisi hatujioni ila tunanena ukweli, huku kwenu Uvivu mwingi...
Facts zinajionesha....
Unapinga lakini unaujua....

Kujua mkoa wangu haitopunguza uvivu wa mikoa ya Pwani.

Eti Handeni ndiyo inawalisha dah 🤣🤣🤣
Una masihala wewe....

Angalia namba 6 ujione ,mnapenda kushobokea mikoa ya pwani ,jifunzeni hata kuoga ..

Utapiamlo unamaliza uwezo wa kufikiria🤣🤣
Screenshot_20240411-124127.png
 
Kuna mdau hapo amezungumzia maeneo ya wazi kuanzia kibaha chalinze hadi morogoro lkn ukiangalia sio kweli


Eneo la wazi ambalo ni potential kwa kilimo nadhadhi ni Ruvu tu nalo shughuli za kilimo hazirusiwi

Na eneo linalobaki linamilikiwa na Jkt Ruvu

Maeneo mengi ya mkoa wa pwani ni kichanga
Mapori Tengefu yapo nchi nzima mkuu,,,

Nazungumzia mapori kwenye maeneo ambayo kwenye Mipango yameainishwa kama maeneo ya Kilimo...na uzalishaji mali.
 
Population ya watu lindi sio kubwa

Pia kuna wilaya nyingine km mtama nachingwea na liwale ni

Population ya lindi nafikiri haizidi milion moja mkoa wote

Sehemu kubwa ya lindi ni mapori tengefu
Mkuu,Lindi (watu 1.2 million)
ina watu wengi kuliko Mikoa ya Njombe (700,000),Iringa na Katavi (1.1 million) .....

Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya zina Mbuga,na mapori ya akiba...
Milima mingi inayofanya kulima kuwa shida
 
Mkuu,
Rukwa ni mkoa wa tatu kwa kuzalisha chakula Tanzania nzima....
kule watu wanalima si kitoto,tafuta mtu aliye sumbawanga akueleze.
Vyakula ni bei chee.. wanauza vyakula Kongo.
Mpunha,Mahindi,Alizeti
Na ni kilimo cha Mashamba makubwa...

Siku Nenda Nyanda za juu utajionea.
Huko kote kumejaa waukuma
 
Angalia namba 6 ujione ,mnapenda kushobokea mikoa ya pwani ,jifunzeni hata kuoga ..

Utapiamlo unamaliza uwezo wa kufikiria🤣🤣
View attachment 2960610
Nafkiri ulipaswa kuandika List la wapiga kazi hapo....Na ndiyo mikoa ambayo makabila yake yanaendesha Uchumi wa nchi.

Ukweli unakuuma mpaka unatafuta cha kupondea,
Ila siwezi shindana maneno na nyie ,mana tunajua mpo vizuri....

All in all,Peace bro...
Usipanick...hizi ni hoja za kuijenga Tanzania...
Mi ntatumia mda wangu kuwaaelimisha watu wangu juu ya utapia mlo...
 
Yani,Mkuu kwenye kuchangia pato la Taifa kwa ukanda wa Pwani ni Tanga tu ndiyo wajitahidi, Dar utoe mana huo ni wa kila mtu....na hapo ni Wilaya Tatu tu za Mkinga,Handeni na Lushoto

Nenda Pwani,Lindi na Mtwara sasa,,,yani dah



Spices, Morogoro ndiyo yaongoza,,fika Mvuha uko ukajionee...
Mnaongea bila data mkuu, unapozungumzia zao linaloongoza kutoa pato la Taifa ni Korosho lipo Lindi na Mtwara kwa wingi, na Tanga Mjini ndio ina pato kubwa zaidi, kama hufahamu Tanga ni mkoa wa tatu baada ya Dar na Mwanza kwa Viwanda na viwanda karibia vyote vipo mjini.

Hii mikoa ya Tanzania kwa pato la mtu mmoja mmoja
 
Mnaongea bila data mkuu, unapozungumzia zao linaloongoza kutoa pato la Taifa ni Korosho lipo Lindi na Mtwara kwa wingi, na Tanga Mjini ndio ina pato kubwa zaidi, kama hufahamu Tanga ni mkoa wa tatu baada ya Dar na Mwanza kwa Viwanda na viwanda karibia vyote vipo mjini.

Hii mikoa ya Tanzania kwa pato la mtu mmoja mmoja
You mean Lindi ,Mtwara na Ruvuma ndiyo top ...ila
Kumbuka Korosho inalimwa mikoa 18 kwasasa...

Mkuu...Pwani ndiyo unaongoza kwa Viwanda hivi sasa....
Ila nenda kwenye hivyo Viwanda, wenyeji hawapo,wanafanya kazi wiki wanaacha...

Na Pwani ni moja mikoa mitano maskini Tanzania,tafuta takwimu za NBS za mwaka jana.
 
Mkuu,
Rukwa ni mkoa wa tatu kwa kuzalisha chakula Tanzania nzima....
kule watu wanalima si kitoto,tafuta mtu aliye sumbawanga akueleze.
Vyakula ni bei chee.. wanauza vyakula Kongo.
Mpunha,Mahindi,Alizeti
Na ni kilimo cha Mashamba makubwa...

Siku Nenda Nyanda za juu utajionea.
Sahihi kabisaa watu wanalima sana uku mimi mwenywe n mmoja wa uku sumbawanga vyakula avina bei kabsaaa
 
Mapori Pwani unashangaa leo?
Kigamboni juzi tu ilikua mapori mpaka Kibada.
Mbezi, Mabwepande, Kibamba,Mpigi Magohe, Magole huko Kitunda ndani ndani, Pugu miaka ya karibuni bado yalikua mapori. Sasa kama Dar bado ina mapori Pwani inasalimika vipi?

Impact ya uvivu wa Pwani inaonekana wapi? Humo unamosema mapori unaona minazi, mikorosho, miembe na michungwa ina maana watu waliima wakapanda. Hebu tufanye ziara hadi Mkuranga tuone msitu usio na mazao hayo ya kudumu.
Pwani haiendelezwi na wapwani bali inaendelezwa na wakuja.
Kama sio wakuja Pwani ingebaki kuwa vile vile ilivyo.
Fuatilia maisha ya wazawa halisi wa Pwani wengi ni pangu pakavu.
 
Kwa mtazamo Wangu wengi wao ni wale wanaoamini Maisha matamu baada ya kifo! So wanawekeza zaidi huko kuliko kwenye elimu/Maisha DUNIA , sijui umenielewa?? Na zaidi ukichunguza Ni maeneo ambayo Mwarabu ndo alitia nanga kabla ya Watu toka Europe😁
Msisingizie waarabu uvivu wenu.
Waarabu kipindi wanatua East Africa coast line waliuinua mji wa Kilwa mpaka ukawa na currency yake.
Hivyo uvivu wenu msisingizie waarabu.
Vipi Dodoma nako alitua mwaarabu??
Maana miongoni mwa sehem za watu wavivu Dodoma ipo nimetembea na nimekaa nao sana huko Msisigwa,Laikani,Ilolo wagogo wavivu kufuru ya Rahmani hadi wachafu kwa uvivu wao.
Msipende kuhusisha udini punguani ninyi.
 
Ukiwataja watu wa Lindi majority huko ni Waislamu mkuu kua makini Misikiti ni mingi kuliko makanisa 90% nyumba za Ibada ni Misikiti ikifuatiwa na Kilwa na Mafia sijui ni Mkoa au ni Wilaya
Dodoma asilimia kubwa wakristu ila wagogo popote waendapo asilimia kubwa ni masikini.
Pia wavivu mpaka imepelekea kuwa wachafu.
Je hili unalizungumziaje??
Tembea Mpwapwa yote zama Kibaigwa kwenda Msigiswa wenye maendeleo wakuja toka upareni huko na uchagani ila wazawa wanaendekeza ulozi na kulewa na kupigana miti tu.
Vivyo hivyo Singida pia ni yale yale.
Je nako misikiti mingi kuliko makanisa!?
Tena kama hapo kibaigwa misikiti mitatu haizidi.
 
Ilala wachapa kazi!?..kumbe hata bila kutumia nguvu ni kuchapa kazi!?... mtwara na Lindi hawana korosho!?..hawavui!...hakuna mgodi ruangwa!?hakulimwi karanga huko!?
Fuatilia wanaofanya kazi katika hiyo migodi ni wa wapi kama sio wa nje ya huo mkoa!?
Wazawa hususan wadada wanabaki kuuza nyapu kwa wachimbaji madini.
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Tuwekee orodha ya Mikoa ya watu Masikini. Ili next time usiporojoke
 

Attachments

  • 4d761970bd392df6a8db031a40e91904d0af67ad.png
    4d761970bd392df6a8db031a40e91904d0af67ad.png
    2 MB · Views: 4
Ndio nakuambia huyo namjua ,wapo kibao wanamiliki minazi ,mashamba ya mihogo wanakaa town...Vijana sio rahisi kuwakuta mtaani wengi ni boaboda .

Pia kumbuka wana exposure kubwa tangu miaka ya 80's mwishoni kuzamia kwenda nje ,asilimia ya vijana wengi ni wa ukanda wa pwani huko nje. Pesa zinatumwa sana watu wanaishi.

Chakula cha kutosha tena aina tofauti ,huwezi kukuta utapiamlo kama kwenu wabara
View attachment 2960396
Hiyo mikoa utapiamlo unasababishwa na kuwa na elimu ndogo juu ya lishe.
Ila vyakula vipo vya kutosha.
Kilishe Pwani wanajua kula tuseme ukweli.
Unakuta wali nazi mchuzi wa samaki wa nazi pembeni ndizi na machungwa.
Ila bara mtu anapiga ugali kilo na migebuka peke yake,hivyo balanced diet unaitoa wapi??
 
Back
Top Bottom