Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Pwani yenye mchanga ni sehemu ndogo sana...
Hapo Kisarawe kuna maelfu ya Heka,,mapori ambapo kuna udongo mzuri,
Wilaya ya Kibaha ina maeneo kibao yenye udongo mzuri...

Maeneo Bonda la mto wami kuna Dongo zuri tu...
Trust me bro,,Lindi,Mtwara na Pwani zilitakiwa ziwe juu sana kwenye kipato cha wananchi.

Ardhi mbovu zipo Simanjiro huko,Longido.
We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
 
We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
Bagamoyo kuna mbuga ya selous????????????????????????????????????????????
 
Kumbe mpumbavu
Sasa kaka ukiambiwa ukweli waita watu wapumbavu tenaa!?
Nammanga nimefika nikiwa kama gold broker mzee kule wazawa wa kuwahesabu ila wadada wa kimakonde kibao wanaojiuza.
Kubali kataa.
 
We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
Mzee unajua hata vikindu na Kisemvule ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga!?
Kuja mpaka huku mlamleni embu nenda uone kama hakuna ardhi ya kulima kule.
 
Tanga ilijengwa na wajerumani kabla ya ujinga wa matambiko
We Tanga mji wanawake wa kisambaa ndio wanaongoza kupambana kuliko wanaume mji utakuaje!?
Kuanzia Ngamiani kuja mpaka Dongwe kurudi mpaka Mgandini na mwakizaro yake kote tembea unambie idadi ya wanawake na wanaume ipi kubwa kiutafutaji.
Majengo mazuri sana sana ya waarabu koko.
 
Hiyo mikoa utapiamlo unasababishwa na kuwa na elimu ndogo juu ya lishe.
Ila vyakula vipo vya kutosha.
Kilishe Pwani wanajua kula tuseme ukweli.
Unakuta wali nazi mchuzi wa samaki wa nazi pembeni ndizi na machungwa.
Ila bara mtu anapiga ugali kilo na migebuka peke yake,hivyo balanced diet unaitoa wapi??
Hawana elimu wachafu hawajui kupika ,wala Nguruwe kama Mbeya Na Songwe hawana wanachojua .
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Sisi hatutaki shida. Ninyi mna tabia za kipuuzi za kutaka kuonekana mnafanya sana kazi. Sisi hatutaki complications za maisha. Mtuwache... Hatutaki shida. Tunalamba tu asali kwa raha zetu.
 
Acha kudanganya watu. Hii mikoa inaongoza kwa wasomi wa Quran? Au wasomi wa nini?
Mkuu mbona katika kila quote zangu unapenda kuleta masuala ya Qur'an!?
Toka Tz inaundwa nenda kafuatilie mikoa inayoongoza kutoa wasomi ni ipi kama sio kanda ya ziwa hususan Mwanza.
Hata viongozi wengi ni kanda ipi kama sio kanda ya ziwa?
 
Back
Top Bottom