Pwani wanajua kula mzee ila bara hawajui kula.si ndio hapo,wao wasio wavivu ndio wenye utapiamlo,ajabu
Mie mnyamwezi kwetu napajua mtu anakula quantity sio quality.
Ila Pwani wanajua kupangilia misosi.
Bara wanajua kujaza chakula tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pwani wanajua kula mzee ila bara hawajui kula.si ndio hapo,wao wasio wavivu ndio wenye utapiamlo,ajabu
Ila unajua kama mikoa ulioiweka hapo ndio inaongoza kwa wasomi Tanzania na viongozi mashuhuri?Angalia namba 6 ujione ,mnapenda kushobokea mikoa ya pwani ,jifunzeni hata kuoga ..
Utapiamlo unamaliza uwezo wa kufikiria🤣🤣
View attachment 2960610
Kumbe mpumbavuFuatilia wanaofanya kazi katika hiyo migodi ni wa wapi kama sio wa nje ya huo mkoa!?
Wazawa hususan wadada wanabaki kuuza nyapu kwa wachimbaji madini.
We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?Pwani yenye mchanga ni sehemu ndogo sana...
Hapo Kisarawe kuna maelfu ya Heka,,mapori ambapo kuna udongo mzuri,
Wilaya ya Kibaha ina maeneo kibao yenye udongo mzuri...
Maeneo Bonda la mto wami kuna Dongo zuri tu...
Trust me bro,,Lindi,Mtwara na Pwani zilitakiwa ziwe juu sana kwenye kipato cha wananchi.
Ardhi mbovu zipo Simanjiro huko,Longido.
Watanzania wengi wanaishia pesa ya kula tu,huko geita,rukwa,katavi,simiyu haipafikii Tanga kwa maendeleoHuo uvivu wanaishia pesa ya kula tu na sio maendeleo
Bagamoyo kuna mbuga ya selous????????????????????????????????????????????We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
Nimeandika kisarawe babu,ukifika vikumburu kisarawe huko Kuna mawe ya mbuga ya selous, kawaida tu kukutana na tembo na Mara moja moja mzee mwenyeweBagamoyo kuna mbuga ya selous????????????????????????????????????????????
Tanga ilijengwa na wajerumani kabla ya ujinga wa matambikoWatanzania wengi wanaishia pesa ya kula tu,huko geita,rukwa,katavi,simiyu haipafikii Tanga kwa maendeleo
Sasa kaka ukiambiwa ukweli waita watu wapumbavu tenaa!?Kumbe mpumbavu
Mzee unajua hata vikindu na Kisemvule ni Mkoa wa Pwani wilaya ya Mkuranga!?We umetembea pwani ipi yenye dongo zuri!?..mkuranga yote mchanga,bmoyo,kisarawe Kuna mbuga ya selous huruhusiwi kufanya chochote,kibaha gani Ina dongo zuri,misugusugu!?
We Tanga mji wanawake wa kisambaa ndio wanaongoza kupambana kuliko wanaume mji utakuaje!?Tanga ilijengwa na wajerumani kabla ya ujinga wa matambiko
Washamba usomi au kukakirir jinga tu nyieIla unajua kama mikoa ulioiweka hapo ndio inaongoza kwa wasomi Tanzania na viongozi mashuhuri?
Hawana elimu wachafu hawajui kupika ,wala Nguruwe kama Mbeya Na Songwe hawana wanachojua .Hiyo mikoa utapiamlo unasababishwa na kuwa na elimu ndogo juu ya lishe.
Ila vyakula vipo vya kutosha.
Kilishe Pwani wanajua kula tuseme ukweli.
Unakuta wali nazi mchuzi wa samaki wa nazi pembeni ndizi na machungwa.
Ila bara mtu anapiga ugali kilo na migebuka peke yake,hivyo balanced diet unaitoa wapi??
Sisi hatutaki shida. Ninyi mna tabia za kipuuzi za kutaka kuonekana mnafanya sana kazi. Sisi hatutaki complications za maisha. Mtuwache... Hatutaki shida. Tunalamba tu asali kwa raha zetu.Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Acha kudanganya watu. Hii mikoa inaongoza kwa wasomi wa Quran? Au wasomi wa nini?Ila unajua kama mikoa ulioiweka hapo ndio inaongoza kwa wasomi Tanzania na viongozi mashuhuri?
Mkuu una uhakikaa😳😳😳!?Hawana elimu wachafu hawajui kupika ,wala Nguruwe kama Mbeya Na Songwe hawana wanachojua .
Au unataka ushahidi mpaka katika hilo mkuu!?Washamba usomi au kukakirir jinga tu nyie
Mkuu mbona katika kila quote zangu unapenda kuleta masuala ya Qur'an!?Acha kudanganya watu. Hii mikoa inaongoza kwa wasomi wa Quran? Au wasomi wa nini?
UMASIKINI wa mikoa hii umesababishwa na serikali. Mbolea tu Kule inafika kwa bei kubwa, matrekta ya kilimo yamewekwa DSM na DOM,kama maonesho tu.Sawa, Singida, Rukwa, Kigoma nako kuna wavivu?