Kuna mpwani alikua amefikia kiwango cha elimu cha Nyerere!?π π π π Mjinga wewe ,wao ndio wamelta bandari muache kujenga kwenu mjenge huku π π .
Mawazo ya kijinga huko kwenu maendeleo zero mnapiga kelele... Julius Nyerere amesaidiwa na watu wa pwani kutafuta uhuru ,mda huo nyie hata kupiga mswaki hamjui ,baadae akaona watakuwa juu yake akaanza kuwafunga.
Pwani nyie mmeleta utapeli ,umalaya na wizi..Ndio mlianza kushiriki mashindano ya kukaa uchi kwa ujinga wenu.
Embu mtaje nimjue.
Sawa harakati za uhuru zilianza 1920s kipindi hiko Nyerere ndio anazaliwa.
Ila mtu ambaye alionekana kuwa na upeo beyond the horizon ni Nyerere na alikua na kiwango kikubwa cha elimu stahiki.
Unadhani angepewa nani kijiti cha kuongoza safari ya utaftaji uhuru!?
Au hujui historia mzee!?