Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Utapiamlo ? Hiyo migodi inaleta uchumi upi?ππππππππππ.
Maanake kwanza nicheke.
Ulitembelea makumbusho ya Mkwawa ukaona barua aliyoandika Mkwawa kwenda kwa sultan wa Tanga ambaye alikua rafiki yake kumtahadharisha kuhusu Wajerumani kabla ya huyo sultan wa Tanga kuuawa na Ujerumani?
Barua ikieleza pia usaliti wa waluguru juu ya Mkwawa!?
Hujafika inaonekana.
Serikali imeujenga mji wa Dar na ikafungua fursa kwa wote,cha ajabu wabara ndio wameweza kuzitumia fursa kuliko wa Pwani.
Zanzibar ni visiwa vya watu wavivu ndio maana kuna maendeleo hafifu.
Pemba ndio kuna umasikini uliokithiri hata usiongee.
Bara kuna shughuli za kilimo,ufugaji na uchimbaji madini.
Au haujui kama migodi mingi ipo bara!?
Onyesha takwimu ya mapato usiwe mjinga ,ambao wazungu wanachota nyie mmebaki na umaskini kama Geita...Leta takwimu uchumi za kiuchumi sijui kama shule umesoma!?π π
Nimetembea huko watu wananuka wanashangaa hata perfume ,wabara kuweni wasafi hata vyuoni nyie ni wachafu sana mna harufu kama beberu.