Hajui anachoongea huyo.Ni jinga mmoja tu atakubaliana na upuuzi wako dar kuna msukumo mkubwa wa serikali licha ya mambo mengi yaliyopo ila kubari dar ni jiji la kiserikali kama Dom.
Dodoma watu wengi wamehamia baada ya kukitwa na miundombinu muhimu hivyo Dodoma inakua kwa kasi.
Ni kama Dar es salaam wizara zilijengwa hapa na ofisi kuu za serikali,bandari ikawepo hapa,ajiulizi kwanini bandari kuu haikuwekwa Mtwara au Tanga??
Dar imejengwa na serikali,akafuatilie meja city projects zinazofadhiliwa na serikali hapa Dar ni za mabilioni mangapi.
Yote ni kuuunda mji huu kuwa financial hub.