mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Ni kama mleta mada ana hoja , ila haina ushahidi wa kutosha
Kwanini nasema hivyo
Mkoa wa lindi , pwani angalia mashamba yao wanayolima kwa ajili ya chakula ukiachana na wawekezaji Yani no more efforts unakuta ka robo ekar halafu jembe anapotumia kulima lipo kama shoka so anatumia mkono mmoja(wanalima ni kama kwa ajili ya chakula tu kuzungushia mwaka), hii ni tofauti na mikoa ya mwanza, Moro, singida na tabora(style za kulima) isipokuwa mikoa kama singida tabora ina changamoto ya mvua za kutosha na ardhi tifu tifu
Pwani wana advantage ya viwanda vingi kama alivyosema mchangiaji aliyepita , pia fursa za kimaendeleo kwa kuwa imeizunguka dar es salaam.