Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,kuna mtu anataka kuhamia Mtwara,Lindi na Pwani kweliiii...?Mikoa ya pwani iliumbwa Kwa ajili ya binadamu mikoa ya bars Kwa ajili ya wanyama ndio MAANA Kila anaye maliza lkusoma au mfanya biashara wanapendelea. Kuhamia pwani
Tumbiri wa bara mna kelele sanaKwa michambo tu ,mpo vizuri...hapo tunawavulia kofia.
Uvivu mwingi uweka utaalam mdomoni...
Sisi tunajua bara wanakaa wanyama 😅😅haswa kenge kulee Dodoma ,Mbeya na huko kati ni sokwe na TumblrMikoa ya pwani iliumbwa Kwa ajili ya binadamu mikoa ya bars Kwa ajili ya wanyama ndio MAANA Kila anaye maliza lkusoma au mfanya biashara wanapendelea. Kuhamia pwani
Sisi tunajua bara wanakaa wanyama 😅😅haswa kenge kulee Dodoma ,Mbeya na huko kati ni sokwe na Tumblr
Tumbiri wa bara mna kelele sana
Njoo pwani ulime kwenye mchangaMkuu,
Selous ipo Morogoro,Pwani, Ruvuma na Lindi, yani hata ukiondoa hilo eneo Mbuga Kisarawe bado inabaki na eneo kubwa sana...
Jiografia ya Morogoro Kusini,Njombe na Ruvuma ni Milima tupu...usafiri ni mgumu kinoma...lakini haizuii watu kufanya kilimo.
Wilaya ya Ludewa na Makete ina udongo wenye asidi kali, hautaki mahindi, lakini wamejitosa kwenye kilimo cha mazao mengine.
Longido,Monduli ni kame haswaa, lakini watu wanfuga haswaa...
kutafuta visingizio haitatui hilo jambo
Msoga Kuna udongo gani mzuri!?..zaidi ya kuchimba dolomite,homboza Kuna dongo zuri!?..njoo nikuoneshe malori ya mchangaMsoga,Msolwa,Lugoba,Bwawani,Miono,Hondogo ,Kata za Bagamoyo na Chalinze hizo...zina udongo gani hizo .....Wakoloni wanalima namba huko,na Mbaazi...
Kiluvya,Homboza,Sungwi,Masaki,Kibwegere huko ni Wilaya ya Kisarawe
Ruvu, Ruvu stesheni ,Luhanga, maeneo yote ya mpaka wa Kibaha na Kisarawe....
Sehemu yoyote machimbo ya mawe na vifusi ,lazima kuwe na udongo wa unaofaa kwa Kilimo...
Huko kote kuna udongo wa kulima
Mbaazi,Mpunga,Ufuta,Mihogo,Alizeti na Karanga haya mazao yote yanaweza kulimwa kwa wingi....ilishainishwa na wizara ya Kilimo.Njoo pwani ulime kwenye mchanga
Ukisema Malori ya mchanga kumbuka kuna Malori ya kifusi kibao yanayotoka Kisarawe kwenda Chanika na buyuni...Msoga Kuna udongo gani mzuri!?..zaidi ya kuchimba dolomite,homboza Kuna dongo zuri!?..njoo nikuoneshe malori ya mchanga
Panapolimika panalimwa,mihogo homboza inatoka vikumburu,kisarawe nk sehemu walau zinazolimika,lakini huwezi Lima kwenye mchanga,sema wewe kwenye mchanga utalima nini!?Mbaazi,Mpunga,Ufuta,Mihogo,Alizeti na Karanga haya mazao yote yanaweza kulimwa kwa wingi....ilishainishwa na wizara ya Kilimo.
Kila aina ya udongo inaweza kulimwa as long as kuna maji mkuu.
Kuna maelfu ya maheka Pwani ambayo siyo mchanga ...
Mf.Ekari zote zinazozunguka Bandari kavu pale Kwara hakuna mchanga na miaka tangia uhuru lipo pori.
Utalima nini kwenye molam,we jamaa vipi!?Ukisema Malori ya mchanga kumbuka kuna Malori ya kifusi kibao yanayotoka Kisarawe kwenda Chanika na buyuni...
Yani vile vifusi vya udongo wewe wasema ni Moram,,,Utalima nini kwenye molam,we jamaa vipi!?
Masokwe😅😅sokwe mikoa ya kati wanatafuta nini...
Masokwe 😅 😅Ndipo uwezo wako ulipoishia hapo.
Nakuwekea Nyaraka ya Wizara ya kilimo yenye kukuonesha distribution ya aina udongo nchini na uwezekano wa kuzalisha mazao.Utalima nini kwenye molam,we jamaa vipi!?
Sawa Nyani la Pwani ,Nyani lijichubualo 😅Manyani ya bara
si ndio asili ya ma mwinyi hukoNi mwendo wa mihogo mkuu! Nani ana time na nyama choma.
Nimesoma advance lindi sec 2006

Utalima nini kwenye molam,we jamaa vipi!?