Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Mikoa ya pwani iliumbwa Kwa ajili ya binadamu mikoa ya bars Kwa ajili ya wanyama ndio MAANA Kila anaye maliza lkusoma au mfanya biashara wanapendelea. Kuhamia pwani
 
Mikoa ya pwani iliumbwa Kwa ajili ya binadamu mikoa ya bars Kwa ajili ya wanyama ndio MAANA Kila anaye maliza lkusoma au mfanya biashara wanapendelea. Kuhamia pwani
Duh,kuna mtu anataka kuhamia Mtwara,Lindi na Pwani kweliiii...?
Unajifariji ama
 
Mikoa ya pwani iliumbwa Kwa ajili ya binadamu mikoa ya bars Kwa ajili ya wanyama ndio MAANA Kila anaye maliza lkusoma au mfanya biashara wanapendelea. Kuhamia pwani
Sisi tunajua bara wanakaa wanyama 😅😅haswa kenge kulee Dodoma ,Mbeya na huko kati ni sokwe na Tumblr
 
Mkuu,
Selous ipo Morogoro,Pwani, Ruvuma na Lindi, yani hata ukiondoa hilo eneo Mbuga Kisarawe bado inabaki na eneo kubwa sana...
Jiografia ya Morogoro Kusini,Njombe na Ruvuma ni Milima tupu...usafiri ni mgumu kinoma...lakini haizuii watu kufanya kilimo.

Wilaya ya Ludewa na Makete ina udongo wenye asidi kali, hautaki mahindi, lakini wamejitosa kwenye kilimo cha mazao mengine.

Longido,Monduli ni kame haswaa, lakini watu wanfuga haswaa...

kutafuta visingizio haitatui hilo jambo
Njoo pwani ulime kwenye mchanga
 
Msoga,Msolwa,Lugoba,Bwawani,Miono,Hondogo ,Kata za Bagamoyo na Chalinze hizo...zina udongo gani hizo .....Wakoloni wanalima namba huko,na Mbaazi...

Kiluvya,Homboza,Sungwi,Masaki,Kibwegere huko ni Wilaya ya Kisarawe

Ruvu, Ruvu stesheni ,Luhanga, maeneo yote ya mpaka wa Kibaha na Kisarawe....

Sehemu yoyote machimbo ya mawe na vifusi ,lazima kuwe na udongo wa unaofaa kwa Kilimo...
Huko kote kuna udongo wa kulima
Msoga Kuna udongo gani mzuri!?..zaidi ya kuchimba dolomite,homboza Kuna dongo zuri!?..njoo nikuoneshe malori ya mchanga
 
Njoo pwani ulime kwenye mchanga
Mbaazi,Mpunga,Ufuta,Mihogo,Alizeti na Karanga haya mazao yote yanaweza kulimwa kwa wingi....ilishainishwa na wizara ya Kilimo.

Kila aina ya udongo inaweza kulimwa as long as kuna maji mkuu.
Kuna maelfu ya maheka Pwani ambayo siyo mchanga ...
Mf.Ekari zote zinazozunguka Bandari kavu pale Kwara hakuna mchanga na miaka tangia uhuru lipo pori.
 
Msoga Kuna udongo gani mzuri!?..zaidi ya kuchimba dolomite,homboza Kuna dongo zuri!?..njoo nikuoneshe malori ya mchanga
Ukisema Malori ya mchanga kumbuka kuna Malori ya kifusi kibao yanayotoka Kisarawe kwenda Chanika na buyuni...
 
Mbaazi,Mpunga,Ufuta,Mihogo,Alizeti na Karanga haya mazao yote yanaweza kulimwa kwa wingi....ilishainishwa na wizara ya Kilimo.

Kila aina ya udongo inaweza kulimwa as long as kuna maji mkuu.
Kuna maelfu ya maheka Pwani ambayo siyo mchanga ...
Mf.Ekari zote zinazozunguka Bandari kavu pale Kwara hakuna mchanga na miaka tangia uhuru lipo pori.
Panapolimika panalimwa,mihogo homboza inatoka vikumburu,kisarawe nk sehemu walau zinazolimika,lakini huwezi Lima kwenye mchanga,sema wewe kwenye mchanga utalima nini!?
 
Utalima nini kwenye molam,we jamaa vipi!?
Yani vile vifusi vya udongo wewe wasema ni Moram,,,
Kuna Moram yatoka Kisarawe kuwa serious basi....

Hivi ushakutana na Ardhi zenye Moram mkuu,kutwa viatu kutoboka soli...
Just uliza watu wa Arusha wakwambie...
 
Utalima nini kwenye molam,we jamaa vipi!?
20240413_143230.jpg
20240413_143201.jpg

Mkuu hizo picha nilizokutumia, nilipiga nilipoenda kusafisha Shamba Wilaya ya Chalinze...Dongo lote ni zuri na tifu lililoshiba...

Jirani na mimi ni mapori ya hekari za kutosha ,hakuna kinachofanyika...
 
Back
Top Bottom