kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Watu wana stori mbaya mbaya kuhusu kanda hizoNimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Sometimes unakuta mtu hata hakujui ila anashabikia tu
Wakati nipo A level nilikuwa nawasikia wanafunzi wanaotoka kanda ya kaskazini wakisema kusini kubaya
Baada ya kusafiri kwenda Mwamza, Katavi nilikuwa nacheka sana kwa kuona maneno mabaya njiani kiasi nilikuwa najiuliza mtu anapata ujasiri gani wa kuicheka Mtwara?
Kuna stori nyingi za kusadikika kuhusu kanda hizo ila kikubwa kwa kuwa kuna waislamu wengi
Na watu wanauchukia UISLAMU
Ndio maana kuna mikoa ya hovyo na maombaomba kibao ila mtoa mada hajataka kuiweka kwenye list