uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Maneno yako ni sahihi kabisa.. Kama huko Pwani ukipita unaona mashamba makubwa kabisa lakini watu wa Pwani wameshindwa kuyatumia kabisa kulima hata mahindi na maharagwe, hata ng'ombe au mbuzi hawafugi wanawaza tu ngono na kuongeza mke. Kongole sana watu wa hii mikoa Loh!!
Aisee..Karibu mtwara tufaidi watoto wa kimakonde kwa elfu 2 hadi kwa mkopo bila kujali ni msichana au mke wa mtu. Ila ukisha mtongoza au kumla atafanya matangazo mtaa mzima. Hawana siri
Ukiwataja watu wa Lindi majority huko ni Waislamu mkuu kua makini Misikiti ni mingi kuliko makanisa 90% nyumba za Ibada ni Misikiti ikifuatiwa na Kilwa na Mafia sijui ni Mkoa au ni Wilaya
Mapori Tengefu yapo nchi nzima mkuu,,,Hayo ni mapori tengefu ndio yanaleta mvua ndio unaona pwani kuna mvua misimu miwili sababu mojawapo ni hayo mapori tengefu
Hii orodha huwa inashangaza sana..Ila kweli mana ikitajwa mikoa maskin sn haipo utaskia kagera katavi tabora mara rukwa
Sisi hatujioni ila tunanena ukweli, huku kwenu Uvivu mwingi...
Facts zinajionesha....
Unapinga lakini unaujua....
Kujua mkoa wangu haitopunguza uvivu wa mikoa ya Pwani.
Eti Handeni ndiyo inawalisha dah 🤣🤣🤣
Una masihala wewe....
Mapori Tengefu yapo nchi nzima mkuu,,,
Nazungumzia mapori kwenye maeneo ambayo kwenye Mipango yameainishwa kama maeneo ya Kilimo...na uzalishaji mali.
Mkuu,Lindi (watu 1.2 million)Population ya watu lindi sio kubwa
Pia kuna wilaya nyingine km mtama nachingwea na liwale ni
Population ya lindi nafikiri haizidi milion moja mkoa wote
Sehemu kubwa ya lindi ni mapori tengefu
Huko kote kumejaa waukumaMkuu,
Rukwa ni mkoa wa tatu kwa kuzalisha chakula Tanzania nzima....
kule watu wanalima si kitoto,tafuta mtu aliye sumbawanga akueleze.
Vyakula ni bei chee.. wanauza vyakula Kongo.
Mpunha,Mahindi,Alizeti
Na ni kilimo cha Mashamba makubwa...
Siku Nenda Nyanda za juu utajionea.
Nafkiri ulipaswa kuandika List la wapiga kazi hapo....Na ndiyo mikoa ambayo makabila yake yanaendesha Uchumi wa nchi.Angalia namba 6 ujione ,mnapenda kushobokea mikoa ya pwani ,jifunzeni hata kuoga ..
Utapiamlo unamaliza uwezo wa kufikiria🤣🤣
View attachment 2960610
Mkuu ,fanya Marekebisho hapo...Neno limekuwa kali kidogo....Huko kote kumejaa waukuma
Mnaongea bila data mkuu, unapozungumzia zao linaloongoza kutoa pato la Taifa ni Korosho lipo Lindi na Mtwara kwa wingi, na Tanga Mjini ndio ina pato kubwa zaidi, kama hufahamu Tanga ni mkoa wa tatu baada ya Dar na Mwanza kwa Viwanda na viwanda karibia vyote vipo mjini.Yani,Mkuu kwenye kuchangia pato la Taifa kwa ukanda wa Pwani ni Tanga tu ndiyo wajitahidi, Dar utoe mana huo ni wa kila mtu....na hapo ni Wilaya Tatu tu za Mkinga,Handeni na Lushoto
Nenda Pwani,Lindi na Mtwara sasa,,,yani dah
Spices, Morogoro ndiyo yaongoza,,fika Mvuha uko ukajionee...
You mean Lindi ,Mtwara na Ruvuma ndiyo top ...ilaMnaongea bila data mkuu, unapozungumzia zao linaloongoza kutoa pato la Taifa ni Korosho lipo Lindi na Mtwara kwa wingi, na Tanga Mjini ndio ina pato kubwa zaidi, kama hufahamu Tanga ni mkoa wa tatu baada ya Dar na Mwanza kwa Viwanda na viwanda karibia vyote vipo mjini.
Hii mikoa ya Tanzania kwa pato la mtu mmoja mmoja
Tanzania: GDP per capita, by region | Statista
As of 2020, Dar es Salaam registered the highest Gross Domestic Product per capita in Tanzania, approximately 4.7 million Tanzanian shillings (TZS).www.statista.com
Sahihi kabisaa watu wanalima sana uku mimi mwenywe n mmoja wa uku sumbawanga vyakula avina bei kabsaaaMkuu,
Rukwa ni mkoa wa tatu kwa kuzalisha chakula Tanzania nzima....
kule watu wanalima si kitoto,tafuta mtu aliye sumbawanga akueleze.
Vyakula ni bei chee.. wanauza vyakula Kongo.
Mpunha,Mahindi,Alizeti
Na ni kilimo cha Mashamba makubwa...
Siku Nenda Nyanda za juu utajionea.
Pwani haiendelezwi na wapwani bali inaendelezwa na wakuja.Mapori Pwani unashangaa leo?
Kigamboni juzi tu ilikua mapori mpaka Kibada.
Mbezi, Mabwepande, Kibamba,Mpigi Magohe, Magole huko Kitunda ndani ndani, Pugu miaka ya karibuni bado yalikua mapori. Sasa kama Dar bado ina mapori Pwani inasalimika vipi?
Impact ya uvivu wa Pwani inaonekana wapi? Humo unamosema mapori unaona minazi, mikorosho, miembe na michungwa ina maana watu waliima wakapanda. Hebu tufanye ziara hadi Mkuranga tuone msitu usio na mazao hayo ya kudumu.
Msisingizie waarabu uvivu wenu.Kwa mtazamo Wangu wengi wao ni wale wanaoamini Maisha matamu baada ya kifo! So wanawekeza zaidi huko kuliko kwenye elimu/Maisha DUNIA , sijui umenielewa?? Na zaidi ukichunguza Ni maeneo ambayo Mwarabu ndo alitia nanga kabla ya Watu toka Europe😁
Dodoma asilimia kubwa wakristu ila wagogo popote waendapo asilimia kubwa ni masikini.Ukiwataja watu wa Lindi majority huko ni Waislamu mkuu kua makini Misikiti ni mingi kuliko makanisa 90% nyumba za Ibada ni Misikiti ikifuatiwa na Kilwa na Mafia sijui ni Mkoa au ni Wilaya
Fuatilia wanaofanya kazi katika hiyo migodi ni wa wapi kama sio wa nje ya huo mkoa!?Ilala wachapa kazi!?..kumbe hata bila kutumia nguvu ni kuchapa kazi!?... mtwara na Lindi hawana korosho!?..hawavui!...hakuna mgodi ruangwa!?hakulimwi karanga huko!?
Tuwekee orodha ya Mikoa ya watu Masikini. Ili next time usiporojokeNimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Hiyo mikoa utapiamlo unasababishwa na kuwa na elimu ndogo juu ya lishe.Ndio nakuambia huyo namjua ,wapo kibao wanamiliki minazi ,mashamba ya mihogo wanakaa town...Vijana sio rahisi kuwakuta mtaani wengi ni boaboda .
Pia kumbuka wana exposure kubwa tangu miaka ya 80's mwishoni kuzamia kwenda nje ,asilimia ya vijana wengi ni wa ukanda wa pwani huko nje. Pesa zinatumwa sana watu wanaishi.
Chakula cha kutosha tena aina tofauti ,huwezi kukuta utapiamlo kama kwenu wabara
View attachment 2960396