Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

ukaribu wa Pwani na Dar es Salaam,inaisaidia sana Pwani...

1.Pwani hakuna Kilimo cha kutosheleza kulisha mkoa wao,mashamba mengi ni robo au nusu heka.

2.Pwani,miji yake mikubwa (Vikindu,Kisarawe, Kibaha,Bagamoyo) ni karibu na Dar.watu wengi wanafanya kazi Dar kuliko ndani ya mkoa.

3.Pwani inalindwa na Mradi mkakati wa viwanda, wa serikali....

Ukiondoa hizo hapo juu,Pwani watu wake ni wavivu....

Mkoa una mapori kama yote.
Mapori Pwani unashangaa leo?
Kigamboni juzi tu ilikuwa mapori mpaka Kibada.
Mbezi, Mabwepande, Kibamba, Mpigi Magohe, Magole huko Kitunda ndani ndani, Pugu miaka ya karibuni bado yalikuwa mapori. Sasa kama Dar bado ina mapori Pwani inasalimika vipi?

Impact ya uvivu wa Pwani inaonekana wapi? Humo unamosema mapori unaona minazi, mikorosho, miembe na michungwa ina maana watu walilima wakapanda. Hebu tufanye ziara hadi Mkuranga tuone msitu usio na mazao hayo ya kudumu.
 
Lete facts mkuu.
Kama umasikini hata Dar ni masikini sana. Dar ina umasikini kwanza ambao haujaisha ndio unataka Pwani ilingane na Dar kimaendeleo?
Haya Pwani wavivu, Singida, Rukwa, Kigoma nako ni nini kimewapata?

Halafu usiongee sana, Wasukuma wanahamia kwa wingi Pwani. Wanadhani wakazi ni wavivu. Wakifika mtu mmoja analima heka nyingi akidhani ni rahisi kutunza shamba. Wanagundua ardhi na majira ya Pwani si kama kwao usukumani. Pwani inapokea mvua nyingi, palizi ni nyingi, magugu yanaota after 2 weeks hata upulize dawa gani. Ndipo wanajifunza kulima kwa akili badala ya nguvu.

Haya tuambie, watu wa Mbeya wangefanya nini Pwani?
Mkuu, Nyanda za juu ndiyo inaongoza kupokea mvua nyingi kwa mwaka... yaani Mbeya, Songwe, Rukwa, Njombe, Ruvuma...ni kuna Unyevu mpaka msimu wa kiangazi...

Ushawahi ona palizi za Maharage wewe zilivyo nyingi...day.
Pwani kilimo hawakiwezi....
Wewe wasema wasukuma, nenda Mbarali ukaone wakulima.
 
Acha kuwatetea hao wavivu..


Mkoa upo karibu na Dar ila wana umasikini wa kufa danganya ambao hawajatembelea huko rufiji, bagamoyo vijijini n.k

Mkoa wa pwani kama ungekuwa unakaliwa na watu kama wa Mbeya ungekuwa zaidi ya hapo.


Kingine mshukuru mungu mkoa wa pwani viwanda vingi vimejengwa wameajiri sana watu wa pwani. Mkuranga Kuna viwanda vingi. Kinyume na hapo ingekuwa shida.


Chalinze miaka na miaka hakuna lolote la maana zaidi ya vijana kuuza mahindi ya kuchoma kwenye mabasi ya mikoani
Chalinze? Ona aibu aisee ni moja ya miji yenye good housing condition wapi uliona nyumba ya udongo Chalinze
 
Mapori Pwani unashangaa leo?
Kigamboni juzi tu ilikua mapori mpaka Kibada.
Mbezi, Mabwepande, Kibamba,Mpigi Magohe, Magole huko Kitunda ndani ndani, Pugu miaka ya karibuni bado yalikua mapori. Sasa kama Dar bado ina mapori Pwani inasalimika vipi?

Impact ya uvivu wa Pwani inaonekana wapi? Humo unamosema mapori unaona minazi, mikorosho, miembe na michungwa ina maana watu waliima wakapanda. Hebu tufanye ziara hadi Mkuranga tuone msitu usio na mazao hayo ya kudumu.
Hata kwa Uvuvi, bado sana, hakuna hata Wilaya moja Pwani inayofikia Mwanza kwa uvuvi....
Yani usijifichie huko, wakati Mkuranga, Kisarawe, Kibiti na majority ya Chalinze ni mbali na bahari...

Mkoa ni mapori, watu hawalimi, kutwa Ngoma.
 
Mkuu,Nyanda za juu ndiyo inaongoza kupokea mvua nyingi kwa mwaka...yani Mbeya,Songwe,Rukwa,Njombe,Ruvuma...ni kuna Unyevu mpaka msimu wa kiangazi...

Ushawahi ona palizi za Maharage wewe zilivyo nyingi...day.
Pwani kilimo hawakiwezi....
Wewe wasema wasukuma, nenda Mbarali ukaone wakulima.
Sawa, Singida, Rukwa, Kigoma nako kuna wavivu?
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Cc Accumen Mo darcity
 
ukaribu wa Pwani na Dar es Salaam,inaisaidia sana Pwani...

1.Pwani hakuna Kilimo cha kutosheleza kulisha mkoa wao,mashamba mengi ni robo au nusu heka.

2.Pwani,miji yake mikubwa (Vikindu,Kisarawe, Kibaha,Bagamoyo) ni karibu na Dar.watu wengi wanafanya kazi Dar kuliko ndani ya mkoa.

3.Pwani inalindwa na Mradi mkakati wa viwanda, wa serikali....

Ukiondoa hizo hapo juu,Pwani watu wake ni wavivu....

Mkoa una mapori kama yote.
Pwani ardhi yake mchanga, ulime miembe na korosho
 
Hata kwa Uvuvi, bado sana, hakuna hata Wilaya moja Pwani inayofikia Mwanza kwa uvuvi....
Yani usijifichie huko,wakati Mkuranga,Kisarawe,Kibiti na majority ya Chalinze ni mbali na bahari...

Mkoa ni mapori ,watu hawalimi,,kutwa Ngoma.
Sasa wilaya Moja ikashindane na mkoa?
Nonetheless, Mkuranga, Kibiti, Rufiji na Mafia tu ndio zina bahari. Mkuranga na Kibiti haziko mbali na bahari, zimepakana na bahari kabisaa.
Nataka unijibu, katika mikoa Masikini sana Tanzania, Simiyu, Singida na Kigoma je nao ni wavivu?
 
Back
Top Bottom