greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Mkuu,Pwani mchanga tena hamna vumbi wala udongo labda uende wilayani wanapolima.
1. Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe huku kote kuna Tifutifu, maeneo yenye Mazao ya kushiba...
2. Hata kwenye mchanga kilimo chafanyika Dodoma na Kondoa nako ni mchanga lakini watu wanalima Karanga kupitiliza...
3. Njombe na Iringa kuna maeneo yanakataa mazao ya kawaida....udongo una aisidi kupitiliza.
Lakini watu wakajiongeza na Chai na miti...
4. Siyo kutembea tu, ila mimi na wenzangu tuna mashamba Chalinze, Kisarawe...
Tumeona uvivu wa watu wa Pwani...