Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Watu wana stori mbaya mbaya kuhusu kanda hizo

Sometimes unakuta mtu hata hakujui ila anashabikia tu


Wakati nipo A level nilikuwa nawasikia wanafunzi wanaotoka kanda ya kaskazini wakisema kusini kubaya


Baada ya kusafiri kwenda Mwamza, Katavi nilikuwa nacheka sana kwa kuona maneno mabaya njiani kiasi nilikuwa najiuliza mtu anapata ujasiri gani wa kuicheka Mtwara?


Kuna stori nyingi za kusadikika kuhusu kanda hizo ila kikubwa kwa kuwa kuna waislamu wengi

Na watu wanauchukia UISLAMU

Ndio maana kuna mikoa ya hovyo na maombaomba kibao ila mtoa mada hajataka kuiweka kwenye list
 
Na hicho ulicho taja "waislum wengi" apo ni[emoji818][emoji818][emoji818]
Wanawake wa kislum awapigi kazi wao waletewe mpaka kuemea si jukumu lao vipi wanaweza kushindana na kanda nyingine?.[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nyie wachafu mnaokunywa maziwa bila ya kuchemsha kamuangalie Nyanda kabundi ...
Kaangalie kuafya mpaka UKIMWI mnaongoza...watu mnakula ugali mmekuwa ngo'ombe ..Eti jaribu kuangalia afya kuanzia ngozi then mjifnanishe na nyie washamba weusi kama giza.
Mbona nyie ni wachafu na mpo na mi-VVU na hatusemi!? Kunywa maziwa mabichi unashangaa!! Ww unae kunywa maziwa yaliyooza utanambia nn!?

Halafu mkichichubua nyie inatosha sisi hatuogop kuitwa weusi, midume mizima unakuta inatumia mikorogo khaa kwendraa
 
Ww nae umeandka kwa hisia zako tu mzee, na wala haujawah kutembea kama unavosema.

Kufananisha mtwara na Mwanza tu nmeona ww n muongo na unaenda na hisia tu
 
Una panic kiwepesi sana,,
Hapa ni mdahalo wa hoja mkuu...haina Haja lugha ya kebehi...
 
Ukimwi ndio kwao huko kwenu washenzi kabisa , tunajua wengi huko kwenu ni manyani.
 
Pwani ukiweza tu kununua msuli tayari umefanikiwa wafanye kazi ya nini sasa
 
Washapanda mikorosho..
Wanasubiri kuvuna tuu
 
Ukihonga elfu 10 wanaenda kutangaziana hapa waweza kumla mama mtu dada mtu rafiki mtu na ukoo mzima
Hii kipindi fulani ilinitokea nikalamba nyumba nzima,mama mtu,mdogo wake na wanae wa4,
Sikuwai kutongoza yaani wanajileta tu nakula mzigo.
Hata hela sikua natoa,almradi tu.
Walikua wa kigoma huko.
 
Mdahalo upi hauna hoja! jifunze hata kuoga na kupiga mswaki kwanza πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ .. Sisi tunajua nyie ni bushmen kama sokwe vile na ule weusi πŸ˜€πŸ˜›
Kwa michambo tu ,mpo vizuri...hapo tunawavulia kofia.
Uvivu mwingi uweka utaalam mdomoni...
 
Nafkiri kwenye suala la Udini hapo halina nafasi...
  • Ruvuma Wilaya ya Tunduru ni Waislam wa kutosha.
  • Morogoro Wilaya ya Kilombero na Kilosa mbona kuna waislam
  • Dodoma, wilaya ya Kondoa na Chemba mbona Waislam ndiyo wengi
  • Singida na Tabora wengi ni waislam
  • Kigoma wilaya ya Ujiji mbona waislam ni wengi
  • Arusha mjini kuna waislam wengi tu
  • Mtwara ,wamakonde wengi ni waikristu
 
Ungekua unajua jinsi wanavopima umaskini wa mkoa Wala usingeweka hii kitu, kwa kifupi tu ni Haina uhusiano na kipato Cha mtu mmoja mmoja
 
Sasa mbona watu wa pwani ndio wenye Nuru wanapendeza afya nzuri hao wanaosemwa Wana uchumi mzuri wamepigika ukimwangalia mara Moja hurudishi jicho.Hizo pesa wanapeleka wapi. Mabahiri sana watu wa bars kula vzr hawajui ndiomaaana watoto wanakimbilia pwani kula maisha
 
Daahhh hio mikoa huko wachawi ni wengi kuliko Raia πŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…