Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Mapori Pwani unashangaa leo?
Kigamboni juzi tu ilikuwa mapori mpaka Kibada.
Mbezi, Mabwepande, Kibamba, Mpigi Magohe, Magole huko Kitunda ndani ndani, Pugu miaka ya karibuni bado yalikuwa mapori. Sasa kama Dar bado ina mapori Pwani inasalimika vipi?

Impact ya uvivu wa Pwani inaonekana wapi? Humo unamosema mapori unaona minazi, mikorosho, miembe na michungwa ina maana watu walilima wakapanda. Hebu tufanye ziara hadi Mkuranga tuone msitu usio na mazao hayo ya kudumu.
 
Mkuu, Nyanda za juu ndiyo inaongoza kupokea mvua nyingi kwa mwaka... yaani Mbeya, Songwe, Rukwa, Njombe, Ruvuma...ni kuna Unyevu mpaka msimu wa kiangazi...

Ushawahi ona palizi za Maharage wewe zilivyo nyingi...day.
Pwani kilimo hawakiwezi....
Wewe wasema wasukuma, nenda Mbarali ukaone wakulima.
 
Chalinze? Ona aibu aisee ni moja ya miji yenye good housing condition wapi uliona nyumba ya udongo Chalinze
 
Hata kwa Uvuvi, bado sana, hakuna hata Wilaya moja Pwani inayofikia Mwanza kwa uvuvi....
Yani usijifichie huko, wakati Mkuranga, Kisarawe, Kibiti na majority ya Chalinze ni mbali na bahari...

Mkoa ni mapori, watu hawalimi, kutwa Ngoma.
 
Sawa, Singida, Rukwa, Kigoma nako kuna wavivu?
 
Cc Accumen Mo darcity
 
Pwani ardhi yake mchanga, ulime miembe na korosho
 
Hata kwa Uvuvi, bado sana, hakuna hata Wilaya moja Pwani inayofikia Mwanza kwa uvuvi....
Yani usijifichie huko,wakati Mkuranga,Kisarawe,Kibiti na majority ya Chalinze ni mbali na bahari...

Mkoa ni mapori ,watu hawalimi,,kutwa Ngoma.
Sasa wilaya Moja ikashindane na mkoa?
Nonetheless, Mkuranga, Kibiti, Rufiji na Mafia tu ndio zina bahari. Mkuranga na Kibiti haziko mbali na bahari, zimepakana na bahari kabisaa.
Nataka unijibu, katika mikoa Masikini sana Tanzania, Simiyu, Singida na Kigoma je nao ni wavivu?
 
Mkuu,
Rukwa ni mkoa wa tatu kwa kuzalisha chakula Tanzania nzima....
kule watu wanalima si kitoto,tafuta mtu aliye sumbawanga akueleze.
Vyakula ni bei chee.. wanauza vyakula Kongo.
Mpunha,Mahindi,Alizeti
Na ni kilimo cha Mashamba makubwa...

Siku Nenda Nyanda za juu utajionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…