Kwa njia za kawaida, uwezo huo hauna. Ila kiheshima, eti unao….

Yani Dr ata akiulizwa tuu kwanini mafuta yameadimika na dolla mtaani hakuna..kamwe awezi kuwa na majibu.

Dr Manyau nyau
 
Musukuma alipewa na nani? Na Chuo gani chenye heshima kubwa Duniani?

Hapa tuko Kwa case ya Samia ukitaka hizo exceptiona achievements za Samia ziko kibao na nyingine nimesema hapo Juu.
Vile mko na vichwa sawa, ngoja nikuache.
 
Kuna kanuni mbili za kimaisha ambazo wenye falsafa zao wamezieleza, na zimekuwa zikitawala kwenye maisha yetu sote...

1. Mwenye kuwa nacho, huongezewa (hupewa) zaidi.

Aghalabu, dhana hii inadhihirika kwa watu wenye kaliba hiyo ya Urais au umaarufu mkubwa ambao wamekuwa wakiheshimishwa zaidi kwa kupewa nishani au tunzo hizo za heshima n.k

2. Apandaye haba, huvuna haba na apandaye zaidi huvuna zaidi.

Sisi watu wengine tusio na upendeleo wowote kimaisha, ili kufanikiwa kanuni ni moja tu nayo ni kupambana ili kuvuna mazao ya mapambano yetu...

Mwisho, kwa nchi zetu za kiafrika haswa hizi zenye amani na wananchi wasiokomaa kuhoji na kuiwajibisha serikali, Urais ni jambo jepesi sana...

Sababu ni kwamba si maamuzi yote ambayo Rais huyafanya, kama Rais akiwa kilaza basi pengine maamuzi yote yakawa yanafanywa na kundi la watu huku Rais akibaki kuwa msemaji tu. Tunaweza hata tukaongozwa na katoto kadogo na bado maisha yakasogea.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Nakazia.... ,


HANA UWEZO HUO...
 
Mimi ni mbeba maboksi tu. Udaktari wa heshima wa nini?
Inaonyesha hayo maboksi unayobeba kichwani yamekukandamiza akili yako na kuidumaza mpaka sasa umekosa kabisa uwezo wa kufikiri. Unahitaji matibabu na lishe itakayo kuponya na kuongeza uwezo wako wa kufikiri kuliko hivi sasa unavyojidhalilisha.
 
Inaonyesha hayo maboksi unayobeba kichwani yamekukandamiza akili yako na kuidumaza mpaka sasa umekosa kabisa uwezo wa kufikiri. Unahitaji matibabu na lishe itakayo kuponya na kuongeza uwezo wako wa kufikiri kuliko hivi sasa unavyojidhalilisha.
Jibber-jabbering.
 
PhD naijua vizuri sana kabla hata sijazaliwa.

Sidhani kama kuna mtu anayeweza kunieleza jambo nisilolijua kuhusu PhD.

PhD za ukweli lakini. Siyo hizo feki.
Binafsi nakuombea uje uwe Rais wa Bongoland miaka ijayo tuone kama nawe utaweza kukiepuka kikombe cha kupewa PhD Feki kama Watangulizi wenza.


Usichojua ni kuwa kuna watu wanafaidika na Rais kupewa hizi PhD Feki, hivyo kitendo cha kuwakatalia ni sawa na kuukata mkono unaokulisha
 
mara sio mala, udaktari sio udakitali na wewe PHD utaisikia kwa wenzako😂
 
Sina haja na kupewa heshima ya uongo.

Samia kupitia darasani hawezi kupata PhD!

Hivi keshawahi hata kuandika makala yoyote ile [hata kwa kutumia ghost writer] iliyowahi kuchapishwa hata kwenye gazeti la Nipashe?
Machapisho ya Rais samia ni mengi sana ambayo ameyaandika kwa Vitendo na siyo makaratasi tu,ameandika katika kila nyanja kuanzia kilimo, biashara,uchumi, miundombinu,elimu ,afya,kupunguza umaskini na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja n.k.

Katika uchumi ameongeza mapato kufikia Trilioni mbili kwa mwezi pasipo vitisho kwa wafanyabishara wala kufungia biashara za watu au kupora pesa zao kinyume cha sheria.

Ameongeza wawekezaji nchini kutokana na sera nzuri zinazovutia wawekezaji nchini,ndio maana wawekezaji wamekuwa wakimiminika nchini kwa wingi sana ,na hivyo kutengeneza maelfu ya fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa kodi.amefanya mapinduzi ya kilimo kwa kuongeza bajeti ya kilimo kutoka billion mia mbili hadi kufikia billion mia tisa sabini.

Amejenga miradi mbalimbali ya kimkakati ambayo italeta mapinduzi makubwa sana na matokeo chanya katika uchumi wetu kutokana na uwekezaji wake.ameboresha huduma za kijamii na kusogeza karibu ya mwananchi.

Aliyoyafanya katika uchumi wetu ni zaidi ya Elimu ya darasani ,ni zaidi ya uprofesa wa uchumi ni zaidi ya vyote hivyo.

Wewe endelea na umbumbumbu wako na chuki zako binafsi pamoja na mawazo yako ya kibaguzi wakati Rais wetu akiendelea kusonga mbele kwa kishindo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…