Duuh kwa hio sio yenyewe maana kilichoandikwa juu na kwenye picha ni yofauti kabisaNote: Picha ni za Mfano tu.
Huyu si ni mke wa yule tajiri mkubwa?Ushuru tu Mil 400+ na Bado ulifanyie customization liwe unique, plus CIF. Kwa muziki gani? Tupogo? View attachment 3679116View attachment 3679117
Note: Picha ni za Mfano tu.
Na hizo tetesi za kwamba jamaa analiwa chakula ni za ukweli aau anapakaziwa?Ni balozo wa gsm hashindwi kumiliki hilo dude sema nini Kuna kipindi jamaa aliugua kama unakumbuka nahisi mishe zote zili stank
😂😂😂 hadi wee ni Mnaa hivi? LolAsa kwanini wamelichukua si Paige simu amtumie control number?
Sijawahi shinda nae sijui, hiyo ni siri yake na wanao mla mkuuNa hizo tetesi za kwamba jamaa analiwa chakula ni za ukweli aau anapakaziwa?
Imefanyiwa heavy customization, na tuning, kutoka G63 kwenda Mercedes-Maybach G900 M Monogram na Jamaa wanajiita MetaGarage, wako Dubai. Wameitume 600hp hadi 900hp, ila still ni V8 4.0L Bi-Turbo.Duuh kwa hio sio yenyewe maana kilichoandikwa juu na kwenye picha ni yofauti kabisa
Kwahiyo shida hapo nini? Mbona hufunguki? Nataka kujua.Imefanyiwa heavy customization, na tuning, kutoka G63 kwenda Mercedes-Maybach G900 M Monogram na Jamaa wanajiita MetaGarage, wako Dubai. Wameitume 600hp hadi 900hp, ila still ni V8 4.0L Bi-Turbo.