Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

Ukiwa karibu na GSM na ukawa na akili ya biashara jamaa hana roho ya kukunja anawasaidia wadau wake wa karibu kwa kuwapa tenda kwenye biashara na network za maana.
 
Kuna watoto wa kike hawajui biashara na utaalamu wa biashara ya maroli. GSM kuna gari ambazo zilikuwa zimefanya transit muda au town trip GSM huwa anawauzia jamaa na ndugu wa karibu na zinatumia brand ile ile na kazi jamaa anazo kibao. Kwa town trip 1 gari moja uhakika wa kulaza 600k mpk 1m upo kulingana na umbali inaofanya.
 
Ukiwa karibu na GSM na ukawa na akili ya biashara jamaa hana roho ya kukunja anawasaidia wadau wake wa karibu kwa kuwapa tenda kwenye biashara na network za maana.
Mhmmm..!! Ommy hajaanza jana kumiliki mipira hiyo..!!

Kuna zingine alikua nazo kabla hajawa karibu na GSM na zenyewe alitoa wapi??
 
Ndugu zangu mpo mbele ya muda sana haya magari yard SA huwa nayapita tu kama vile nimeona tairi za ndege ninyi mpo busy mnajadili kama karanga vile sijui ku upgrade kiasi gani na wapi wanafanya daah...
 
Huyo ni mwajiriwa wa GSM..... hatujui mshahara wake....pengine ana uwekezaji....kilimo, nyumba ama biashara! Si kila mtu anapenda kuweka mambo yake public

Tumwache jamaa afanye life lake....
Kununua gari ambalo kodi ni zaidi. milioni 400 ni kiweka mambo yako binafsi wazi. Akina baba kabwela lazima wahoji kwa maana kwamba

Ukiwa n uwezo wa kulipa something like bilion moja kwa gari pekee maana yake una biashara kubwa inayo kuingizia mabilioni hapa mjini au nje ya nchi.

Biashara haijifichi.biashara ambayo unaweza kutoa bilioni na biashara ibaki imesimama na accunt isitetereke unadhani ni biashara ambayo utajiamria tu kusema ni mambo binafsi kwamba isijulikane kwa watu?

Vinginevyo labda ziwe pesa chafu

ANYWAY HUYU ANAJIITA MBEBA MCHONGO
 
Back
Top Bottom