Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

View attachment 3679327
YouTube yake Ina views Mil 58.3 tukiassume kwa RPM ya $3 (ambayo ni ngumu sana sana 1.5 hadi 2$ kutokana na Music wake), imeingiza total ya $175,000 karibia Mil 450 tu, tokea ianze (2012).

Haivuki nusu ya bil. Kwahiyo YT tu inalipa kodi tu, na hapo kumbuka izo Hela angekua anakusanya tokea 2012.
Ommy ana hela, hizo deal zake zingine ndio zimempa hiyo kitu
 
Imagine umefungua fremu kubwa Sinza, kodi 600k kwa mwezi, mzigo wa mamilioni, wafanyakazi watatu, hafu unaenda TRA kwaajili ya makadirio ya kodi, unawaambia una kafremu ka mita 2 kwa 2, unauza makava ya simu ya chaja tu, unasimamia ww mwenyewe, kodi elfu 65, lengo wakupe estimation ndogo za kodi. Ndio ivo sasa. Case kubwa sana.
Duuuh kumbe ilivyo? Hii sasa shida, Lol
 
Hiyo gari inaweza kuwa imefanyiwa Customization hapa hapa Bongo, na wenda hawajafanya hata engine swap, wamegusa tuu custom paint and face uplift.
Wapo watu wana import gari badae wana import accessories za PIMP, body kit, lift kit, big rims, engine swap, body paint and sound kukwepa kodi.

Maana kama alifanyia Dubai lazima alifanyiwa makadirio kwa invoice ile baada ya custom, CIF baada ya customisation.

My take: Bado nakataa kama customisation haiwezi fanyika bongo kupunguza kodi, yaan G wagon ya 500m ikaongizwa kama ilivyo badae, ikaingiziwa custom kits za Maybach, ikaguswa kidogo tuu ikaleta picha ya kitu kingene na ku attract attention.

Ninachokiona wenda TRA katika database zao wana G wagoni, lakini mtaani wanakutana na pimped Maybach, ndo wenda wameona waidake. 😆
Hivyo wanataka kujua what really happened... maana wenda kuna ujanja wa PIMP hapo. Ni mawazo yangu lakini. 😊
Nahisi km uko sahihi hapa.
 
Sitetei uchoko, ila jamaa ana deal ambazo zinampa nguvu ya kupata hela ya kununua hizo gari. Na sehemu moja ya deal naifahamu na ndio inacheu mzigo wananunua hayo madedu, nilishawai fanya hiyo deal ila kwangu na netwrok yangu vika backfire. Hayo mambo kwamba analiwa ndio yampe hizo chuma uwongo, machoko wengi mjini hata IST hawanaa ndio ujue picha harisi 😅😅
Inategemea huo uchoko unafanya na nani? Ila kwa ommy kuna zaidi ya huo uchoko.
 
Inategemea huo uchoko unafanya na nani? Ila kwa ommy kuna zaidi ya huo uchoko.
Kuna ambao machoko wana hela kuliko wasio machoko kwa mambo yao binafsi biashara n.k ndio hao wanao miliki vitu kama hivyo.

Ukweli ngono ya mtu kuhonga 3 billion haipo 😅😅😅 landa kama mke na mume, ila kuhonga hizo hela miliona kadhaa sawa ila huko kwamba mtu kavunjwa kapewa billions of hela sidhani ingawa inawezekana maana sijui kila kitu

Omy najua moja ya issue anayofanya na ndio inampa hayo mahela, nilishajaribu kufanya hiyo biashata ila sie upande wetu ili backfire na ni kazi kabisa ambayo watu smart wengi wanafanya na inahitaji akili na network pana. Hayo ya uchoko kuhusu Ommy sijui ndio point yangu.
 
Nje ya mada: Kwamba bongo hakuna garage ya kufanya P.I.M.P/ customisation/ face uplifting ya G wagon au unatania?
Zipo kwa body upgrades na lower end models engine tuning. Body ni rahisi kwasababu panels unaagiza tu. Engine inabidi uwe mtaslam na ununue softwares, sasa softwares za uhakika za akina AMG sio rahisi.
 
Kwani kakwambia ni pesa ya muziki tu? Maskini tuna majungu sana
 
Inategemea huo uchoko unafanya na nani? Ila kwa ommy kuna zaidi ya huo uchoko.
Huyo lazima ana side hustle nyingine na bila shaka zisizo halali. Kibongobongo kua tajiri kwa njia halali ni kipengele aisee.
 
Hilo sio swali la msingi.

Swali lilitakiwa kuwa, nitafanyaje ili na mimi nimiliki chuma kali kama hiyo? Ungepewa mawazo na mbinu kisha ungefanyia kazi kama ni za halali.

Wivu wa maendeleo ndio huo sasa.
 
Back
Top Bottom