Hiyo gari inaweza kuwa imefanyiwa Customization hapa hapa Bongo, na wenda hawajafanya hata engine swap, wamegusa tuu custom paint and face uplift.
Wapo watu wana import gari badae wana import accessories za PIMP, body kit, lift kit, big rims, engine swap, body paint and sound kukwepa kodi.
Maana kama alifanyia Dubai lazima alifanyiwa makadirio kwa invoice ile baada ya custom, CIF baada ya customisation.
My take: Bado nakataa kama customisation haiwezi fanyika bongo kupunguza kodi, yaan G wagon ya 500m ikaongizwa kama ilivyo badae, ikaingiziwa custom kits za Maybach, ikaguswa kidogo tuu ikaleta picha ya kitu kingene na ku attract attention.
Ninachokiona wenda TRA katika database zao wana G wagoni, lakini mtaani wanakutana na pimped Maybach, ndo wenda wameona waidake. 😆
Hivyo wanataka kujua what really happened... maana wenda kuna ujanja wa PIMP hapo. Ni mawazo yangu lakini. 😊