Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

Kwahiyo shida hapo nini? Mbona hufunguki? Nataka kujua.
Imagine umefungua fremu kubwa Sinza, kodi 600k kwa mwezi, mzigo wa mamilioni, wafanyakazi watatu, hafu unaenda TRA kwaajili ya makadirio ya kodi, unawaambia una kafremu ka mita 2 kwa 2, unauza makava ya simu ya chaja tu, unasimamia ww mwenyewe, kodi elfu 65, lengo wakupe estimation ndogo za kodi. Ndio ivo sasa. Case kubwa sana.
 
Salam Sk anatokea morogoro zamani alikua rapper Mango Garden,ana mshikaji wake anaitwa Makakila,Makakila ndio mtu wa kwanza kua na Yard kubwa ya magari morogoro mjini but makakila nyuma ya pazia ni Kingpin wa Unga sio morogoro tu,..

Salam Sk alivyokuja Dar biashara iliompa umaarufu ni kuuza magari linked na makakila,unafikiri magari tu?wrong na sembe..

Katika kuuza magari Salam akakutana na AY wakawa Unda urafiki,ushajiuliza why AY anapenda kuji refer as a drug lord?ana nyimbo kabisa inaitwa El Chapo akijilinganisha na Joaquín Guzmán Mexican former drug lord??

Au naibu waziri nyimbo zake 90% anajitaja majina ya Drug dealers

Mnasema Joho anafirana na ommy dimpoz?well mwaka 2010 bungeni kenya Kuna Mbunge alimtaja Joho kama Drug Kingpin na upelelezi ukafanyika lilipoishia ni story ya siku nyingine

So AY na FA wakawa washikaji na Salam hadi wakafungua media inaitwa Dizzim(AY&Sallam) na wakawa na kipindi chao dizzim TV(The Joint)

Story zisiwe nyingi kwenye Circle yao boss ni yule Jamaa Carlito mmiliki wa samakisamaki,.

Dream team ni ommy,Carlito,AY,Sallam,

Wachini wao yule jamaa mwembamba mrefu mweusi ambae bank mwaka juzi ilipiga mnada vitu vyake kufidia deni bilioni 1.3..
Oya!!! Kwahivi wataendesha mandinga sana.
 
Kama kuna mtu ana hili gari aje tufanye biashara maana nina ndoto ya kumuliki usafiri huu
2204241503-1114_01.jpg-640x430.jpg
 
😁😁

Hizi mada Makebo (matako) akiziona basi huongeza spidi ya kunyea mabasha ili ajikusanyie mpunga wa kununua LC300
😁😁😁 kumbe mshajua kuwa ndugu Makebo (makalio) ni 🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈

cocastic naomba umwambie bichwa kome kuwa kuna mna mwanachama mpya , mumuingizs kundini
 
Back
Top Bottom