Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

Kwahiyo shida hapo nini? Mbona hufunguki? Nataka kujua.
Imagine umefungua fremu kubwa Sinza, kodi 600k kwa mwezi, mzigo wa mamilioni, wafanyakazi watatu, hafu unaenda TRA kwaajili ya makadirio ya kodi, unawaambia una kafremu ka mita 2 kwa 2, unauza makava ya simu ya chaja tu, unasimamia ww mwenyewe, kodi elfu 65, lengo wakupe estimation ndogo za kodi. Ndio ivo sasa. Case kubwa sana.
 
Oya!!! Kwahivi wataendesha mandinga sana.
 
😁😁

Hizi mada Makebo (matako) akiziona basi huongeza spidi ya kunyea mabasha ili ajikusanyie mpunga wa kununua LC300
😁😁😁 kumbe mshajua kuwa ndugu Makebo (makalio) ni πŸ³οΈβ€πŸŒˆπŸ³οΈβ€πŸŒˆπŸ³οΈβ€πŸŒˆπŸ³οΈβ€πŸŒˆ

cocastic naomba umwambie bichwa kome kuwa kuna mna mwanachama mpya , mumuingizs kundini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…