Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Nasikia kazi yake nyingine ni boda boda , kwa hio akitokaga kwenye shughuli zake za upinde anashindwa kuka vizuri juu ya piki pikiπMpaka anatoka puru hatakaa apate hela ya kununua LC300
Kwa kebo gani alilonalo?lamda artificial Makebo
Watakuwepo ila wacha waishie ku-upgrade Mark X na Crown. Hii chuma hawaiwezi.Nje ya mada: Kwamba bongo hakuna garage ya kufanya P.I.M.P/ customisation/ face uplifting ya G wagon au unatania?
Watakuwepo ila wacha waishie ku-upgrade Mark X na Crown. Hii chuma hawaiwezi.
Hafu upgrades za bongo zinafanana, hao Jamaa wanafanya customization, wanakusikiliza wewe unataka nini, wao wanaenda chimbo kutengeneza unachotaka. Mfano iyo chuma wameitia Maybach front (kumbuka Mercedes hawanaga Maybach za G Wagon), ndani kuanzia upholstery hadi technology, Bado kwenye engine nk.
Kumbuka hii chuma SI TU kwamba ipo Tanzania pekee, ni bara la Africa, kwasababu zimetengenezwa 50 tu Duniani.
Jumla gharama zote kasoro ushuru ni zaidi ya Bil 3.
Hapana, kiwandani G63 ni kama 500 Mil hivi.
Kabla ya kuwekwa personality ni kama $750k wao wanamdai, ambayo ni ni nearly 2b. Sasa ukitia mbwembwe + TRA + shipping (hii kwa ndege), Bei Mlima.Customization kwenda Maybach inaweza kuwa shi ngap kwa unavyokadiria? Maana ni kama unatoa bei ya Maybach OG! Unaacha customisation! π
Kabla ya kuwekwa personality ni kama $750k wao wanamdai, ambayo ni ni nearly 2b. Sasa ukitia mbwembwe + TRA + shipping (hii kwa ndege), Bei Mlima.
TRA wanasajili chassis, customization haziwahusu. So kadi itaendelea kusoma G63.Hiyo gari inaweza kuwa imefanyiwa Customization hapa hapa Bongo, na wenda hawajafanya hata engine swap, wamegusa tuu custom paint and face uplift.
Wapo watu wana import gari badae wana import accessories za PIMP, body kit, lift kit, big rims, engine swap, body paint and sound kukwepa kodi.
Maana kama alifanyia Dubai lazima alifanyiwa makadirio kwa invoice ile baada ya custom, CIF baada ya customisation.
My take: Bado nakataa kama customisation haiwezi fanyika bongo kupunguza kodi, yaan G wagon ya 500m ikaongizwa kama ilivyo badae, ikaingiziwa custom kits za Maybach, ikaguswa kidogo tuu ikaleta picha ya kitu kingene na ku attract attention.
Ninachokiona wenda TRA katika database zao hawana Maybach ila wanaiona mtaani. π
Hivyo wanataka kujua what really happened... maana wenda kuna ujanja wa PIMP hapo. Ni mawazo yangu lakini. π
Kikubwa alipe kodi. Elnino inakujaHiyo gari inaweza kuwa imefanyiwa Customization hapa hapa Bongo, na wenda hawajafanya hata engine swap, wamegusa tuu custom paint and face uplift.
Wapo watu wana import gari badae wana import accessories za PIMP, body kit, lift kit, big rims, engine swap, body paint and sound kukwepa kodi.
Maana kama alifanyia Dubai lazima alifanyiwa makadirio kwa invoice ile baada ya custom, CIF baada ya customisation.
My take: Bado nakataa kama customisation haiwezi fanyika bongo kupunguza kodi, yaan G wagon ya 500m ikaongizwa kama ilivyo badae, ikaingiziwa custom kits za Maybach, ikaguswa kidogo tuu ikaleta picha ya kitu kingene na ku attract attention.
Ninachokiona wenda TRA katika database zao wana G wagoni, lakini mtaani wanakutana na pimped Maybach, ndo wenda wameona waidake. π
Hivyo wanataka kujua what really happened... maana wenda kuna ujanja wa PIMP hapo. Ni mawazo yangu lakini. π
Vijana wa waya mrefu hao mjini hapaKikubwa alipe kodi. Elnino inakuja
Wanafanya biashara za kichoko. Ndio maana hawataki kumsikia Dudubaya akiwakemea.Ushuru tu Mil 400+ na Bado ulifanyie customization liwe unique, plus CIF. Kwa muziki gani? Tupogo? View attachment 3679116View attachment 3679117
Note: Picha ni za Mfano tu.
Sawa itakuwa sahihi.Wabongo bhana kuna wana muziki Youtube tu kwa mwaka wanalaza bilion 6+ sasa sifikiria hapo ni youtube peke yake
Wabongo bhana kuna wana muziki Youtube tu kwa mwaka wanalaza bilion 6+ sasa sifikiria hapo ni youtube peke yake
Sijaongelea mtu mahususi mkuu. Mimi nimesema wasaninii wanaweza kufikia hicho kiwango.View attachment 3679327
YouTube yake Ina views Mil 58.3 tukiassume kwa RPM ya $3 (ambayo ni ngumu sana sana 1.5 hadi 2$ kutokana na Music wake), imeingiza total ya $175,000 karibia Mil 450 tu, tokea ianze (2012).
Haivuki nusu ya bil. Kwahiyo YT tu inalipa kodi tu, na hapo kumbuka izo Hela angekua anakusanya tokea 2012.
TRA wanasajili chassis, customization haziwahusu. So kadi itaendelea kusoma G63.
Kikubwa alipe kodi. Elnino inakuja
Sitetei uchoko, ila jamaa ana deal ambazo zinampa nguvu ya kupata hela ya kununua hizo gari. Na sehemu moja ya deal naifahamu na ndio inacheu mzigo wananunua hayo madedu, nilishawai fanya hiyo deal ila kwangu na netwrok yangu vika backfire. Hayo mambo kwamba analiwa ndio yampe hizo chuma uwongo, machoko wengi mjini hata IST hawanaa ndio ujue picha harisi π πWanafanya biashara za kichoko. Ndio maana hawataki kumsikia Dudubaya akiwakemea.