Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Acha maneno mengi...wanawake watapewa nini.... Au wao ni kushonwa tu mwaanzooomwishooooo mwaaaa mwiiii....Wanawake 70 ni moja tu ya agadir kati ya ahadi nyingi...agadir hii ni katika sector ya mapenzi tu bado kuna ahadi na prize nyingi sana ambazo mwanamke nae atapata hapa kwenye Base ya mapenzi sina eliminate sana Mungu mjuzi anajua zaidi.
Watu wanaopenda uchochezi wa kidini wanapenda sana kutumia hii sehemu ya mabikra 70 kuleta uchochezi kujenga picha kama kitu kibaya bila mantiki yoyote...Swali ni je mapenzi ni kitu kibaya??
Na wanawake watapata raha gani huko peponi? Nataka kujifunza
Nilitaka hapo tu nafurahi tu umejua maana ya uzinzi na ulilitumia si sehemu sahihi, endless kujifunza.Ooh kwa hiyo ni wake 70+ mtapewa wadogo wadogo wenye chuchu saa 6? Na wanawake Wenye matendo safi duniani, mbinguni watapewa nini sasa?
Surah Al-Ahqaf Ayat 9 (46:9 Quran)Una uhakika,au umesikiasikia tu ukadaka!?
Kukinai, kuchoka, kuumwa na mambo mengine yoote yaliyo upended wa ubaya hayo yanaishia hapa duniani tu....the kujifunza.Kama pombe na wanawake umewakinai duniani hio ahadi ina umuhimu gani kwako
Oh kwenye vitu watapewa wanawake naona wengi hamna elimu kabisa, mmeelimika tu hapo kwenye kupewa mabikra 70 na pombe. Nilitamani kujua kwa upana.Nilitaka hapo tu nafurahi tu umejua maana ya uzinzi na ulilitumia si sehemu sahihi, endless kujifunza.
Kwenye upended wa mwanamke atapewa nini yale yote ambayo atapewa mwanaume ila upended wa mapenzi sina eliminate zaidi.
Nikuulize swali, kufanya mapenzi na mkeo ni unafanya uchafu??Na iwapo kama ni kwenda kufanya mapenzi na wanawake 72 na huoni kama itakuwa ni uchafuu mkubwa Kwa sababu Toka Dunia ianze watu wangapi wamekufa sababu utakuwa unafanya mapenzi na ndugu zako. Tuwe na fikira deep ni hizi dini
Nimesema sina eliminate na hilo una nia ya kujifunza au kulimbana.Acha maneno mengi...wanawake watapewa nini.... Au wao ni kushonwa tu mwaanzooomwishooooo mwaaaa mwiiii....
Umeelezea vizuri mkuu. Hakuna matatizo yeyote mbinguni.Haya umeandika kwa mwili tuliopewa duniani, peponi hakuna msamiati unaitwa KUCHOKA, misamiati yoote inayowakilisha matatizo na shida pepeni haitakuwepo up uwezo atakupa Mungu mwenyewe...Technically kilasiku utakuwa kama unamwaga bad siku ya kwanza to make it simple.
Pia hakuna ishu ya bakra tu hiko ni kitu kimoja kwenye millioni.
Hamkupata kukisoma kitabu cha kusadikika?Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063
Nasikia tutapewa na vumbi la congo unapiga hata kumi kwa siku.Kukinai, kuchoka, kuumwa na mambo mengine yoote yaliyo upended wa ubaya hayo yanaishia hapa duniani tu....the kujifunza.
Lies.Qur'an inasema usiue Wala usijiue,anaevaa bomu anajua mwenyewe anavaa kwa sababu gani
Huna eliminate (Nini hiki umekazana kikitaja au simu yako mbovu)...Sina eliminate kila ukicomment Sina eliminate..... Eliminate yako hii nayo hauna ni kitu gani au ulitaka kusema hauna ELIMU NAYO ....uangalie na unachopost unaandika vitu havieleweki ndio maana unaulizwa mara Kwa mara....Nimesema sina eliminate na hilo una nia ya kujifunza au kulimbana.
Yaani unakufa na kuacha wake zako wanne duniani kisha unaenda kuzawadiwa mabikira 72 wa kunyandua huko peponi, je huo sio uzinzi, na kwa nini utelekeze wake zako waliokuzalia watoto wazuri duniani kisha ukarukie hivyo vi demu 72?Mkuu mke na mume wakifanya mapenzi ni wanafanya uzinzi, naomba jibu.
Qur'an inasema usiue Wala usijiue,anaevaa bomu anajua mwenyewe anavaa kwa sababu gani
Hii umeandika Viseversa sijui kwanini labda kwasababu tiali duniani tuna matatizo na hatuwezi kuyakimbi ndio maana ukaandika hivi ila kwaakili zangu timamu matatizo siyahitaji na si kitu cha kuki-intertain kama ulivyoandika hapa...kwamba maisha yawe na furaha kwa kupigwa panga za uso, kuumwa na kichwa...THINK AGAIN.Umeelezea vizuri mkuu. Hakuna matatizo yeyote mbinguni.
Nami nauliza, bila matatizo, maisha yanakua na thamani yeyote? Kunakua na maana ya kuishi?
Sina eliminate hapaBinadamu na maisha yetu hatuna ukamilifu. Ili Allah aweze kukupa hiyo akhera, ni lazima akuondoe utashi wako, ili uwe unawaza mambo machache tu.