Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Mkuu naomba nikuulize bila kuazisha uchochezi kidini


Nimeona umesema watu wataletwa duniani, baada ya kuletwa duniani inamaana watakuwa katika algorithms zone za dunia Solar system, photosynthesis, forestry, rainfall nk yaani dunia inakuwa intend vilevile au??
Yes, as it was planned from the beginning.
 
hii ahera ya uzinzi na ngono nani anaitaka? hivi huyu aliyeleta hii dini kwanini aliamua kuwafanyia hivi hawa ndugu zetu? angejaribu basi kuwadanganya kidogo asingewadanganya kwa kiwangu hiki.
Mkuu mbona wewe na mkeo munafanya uzinzi na ngono kwanini unaandika kama kitu kibaya, kipi kimekukuta.
 
Kuna watu niwajinga Mungu aliekwambia pombe dhambi huku alafu huko akutengenezee mto, uzinzi gani huo na walivyo wajinga wanaongea kabisa hadhari hawa walibidi wafungwe mirembe maana mpaka baba yao shetani anashangaa mateka wake walivyo wajinga

Jia ya kweli na uzima ni moja tunaijua
Jiwe lililokataliwa na waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
Mpende msipende YESU NI BWANA

Njoo katika wokovu sio kwenda kunywesha vileo na kuabudu masanamu na mashanga mkononi kama mganga wa kienyeji na kunyunyuziwa tumaji na huyo papa sasa sijui maana neno papa kwa kiswahili linamaana nyingi 🤣🤣🤣

Anyway povu ruska
 
Vitu kama vinyongo, chuki, hasira nk huko peponi vitaondolewa vyote pia ujue vitu kama LIBIDO hamu ya tendo na nguvu za kiume pia zitakuwa juu sio kwa ratio za duniani.
Sasa kama hivyo vinaondolewa kwa nini hizo hamu za ngono zisiondolewe, hii si inaangukia kwenye udhaifu wa kibinadamu, kama njaa kiu uchovu nyege usingizi nk, hivyo vyote kwa pepo si havina nafasi?
 
Inaama shida na changamoto zitakuwa ni vikevile nini itakuwa Fate ya ningi kufanya ibada malipo ni nini na baada tena kurudi duniani fate itakuwa nini au itakuwa mzunguuko huohuo.
Mzee napata wakati mgumu sana kukuelewa...ukitaka nikujibu vizur fanya hivi; andika vizur, weka vituo, tenganisha maswali.

Ebu jaribu kusoma hii kwanza👇
Post in thread 'Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari.' https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-raha-hizi-huko-peponi-walioahidiwa-waislamu-na-mimi-naanza-kutafakari.2172254/post-48932335
 
Sasa kama hivyo vinaondolewa kwa nini hizo hamu za ngono zisiondolewe, hii si inaangukia kwenye udhaifu wa kibinadamu, kama njaa kiu uchovu nyege usingizi nk, hivyo vyote kwa pepo si havina nafasi?
Hamu ya ngono ni kitu kibaya??? Hamu na nyege si vitu vibaya ubaya ikiwa wakufanyanae akiwa hayupo ukiwa unaowa wanawake How nyege mbaya.

Kufanya mapenzi ni saterehe kati ya starehe za juu inakaa kwenye SPENDING baada ya MAKING
 
Ukichunguza hii dini kwao mwanamke hana thamani zaidi ya chombo cha starehe,rubbish kabsa hawa wafuasi wa mudy wanawaza ngono ngono tu na kumwaga damu.
Samahani, mamayako bila kuwaza ngono ungezaliwa wewe??
 
Dini ni ubinafsi mwingine. Yaani wewe uliyeletewa dini miaka ya hivi karibuni na kupewa jina la ughaibuni haya ya waarabu na waebrania unajiona bora kuliko mababu na mabibi zako waliokufa bila kuletewa dini na tamaduni za mashariki ya kati.

Halafu unashupaza shingo kutukana wengine na kujiona unastahili zaidi kwa sababu unaitwa John/Mary na kubeba Biblia au Juma/Faiza na kubebeshwa msaafu wa waarabu.

Mungu mnayemwabudu anawachora tu mnavyojiona bora kuliko binadamu wengine.
 
Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa. Halafu kusema watapewa mabikra 70 ni mawazo ya kimalaya na wakati dini inapinga uzinzi. Je wenye ukimwi na magonjwa mengine ya kuambikiza itakuwaje. Tuwe na critical thinking na siyo kufuata mkumbo tu
Kwahiyo hapa wewe ndio umefikiria ? Mbona unafikiria kitoto sana na akili yako ni ndogo mno.

Nakuuliza swali la msingi unaweza kuthibitisha ya kuwa huo ni utapeli ? Kwahiyo mtu akifa hafufuki ? Wewe umejuaje na nani amekwambia kwamba mtu akifa hafufuki ?

Hapa ndipo akili yako imeishia, ya peponi yote ni halali, ndio maana yakawa malipo na watapewa na Allah. Sasa wazo la kimalaya linatoka wapi ? Dini imekataza hilo duniani na sio akhera. Akili zenu ndogo sana.

Peponi hakuna hapatakuwa na magonjwa kijana, jaribu I kuwa mnauliza kwanza haya mambo kisha muhoji, sio mnahoji kitoto na kiujuaji juaji wakati hamjui mlolote. Halafu unasema watu wawe na "Critical Thinking".
 
Hahaha yaani wavaa kobasi ni kama ccm na wananchi wake full kuwadanganya mudi mwenyewe aliulizwa akashindwa kujibu ila mkikuta hizo ahadi mniite mbwa nipo pale

Ni heri uamini hao wanawake wa peponi wapo halafu ukifika usiwakute, kuliko uamini kuwa hawapo halafu ukifika uwakute na wenzako wanakula Raha. Utapa taabu sana aisee.
 
Back
Top Bottom