Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hii ahera ya uzinzi na ngono nani anaitaka? hivi huyu aliyeleta hii dini kwanini aliamua kuwafanyia hivi hawa ndugu zetu? angejaribu basi kuwadanganya kidogo asingewadanganya kwa kiwangu hiki.Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
View attachment 2860064
View attachment 2860063