Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

usiku huu badala ulale ufikirie namna ya kupunguza umaskini wako unahangaika na mapumbavu yako, huyo mtu ameshafanikiwa na ukoo wake wote we ni nyau tu mdogo, ataongoza nchi yetu mpaka 2030. Sijui kwanini ni mpumbavu hivyo, unawezaje kujihangaisha na mtu km rais tena kupitia CCM, chama dola mpaka kina Mgunda wamo kule. Mtakufa tu sonona
 
Mtyu unajiandikia km unaota, unajizushia tu mauwongo, maujinga umekaa nyuma ya keyboard hujui chochote huku field. Kwa taarifa yako huyu rais amefanya mambo makubwa sana katika muda mfupi. Hakuna mpaka sasa mwenye rekodi km Samia ktkt marais waliopita we endelea kuota maujinga yako.
 
Alisema ,"Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu,si ndio Ndugu zangu?".
 
Ni kweli
 
Uzuri aliyeyatabiri haya ni sheikh .
Sisi yetu macho na masikio 😂😂😂
 
Naunga mkono hoja . Hakubaliki kabisa. Wananchi wanasema havutii hata kwenye hotuba zake. Ukimuangalia vizuri hata yeye amejua sikubaliki ila anachofanya ni watajua wenyewe Wacha Nile maisha tu.
 
Nimefurahishwa na andiko lako yote uliyogusia ni ukweli mtupu, je unadhani anayo nafasi ya kubadili mihemko ya Wananchi kabla hatujafika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025?
 
Dah...mwana Magufuli mwenzangu tuliepigwa na kitu kizito kichwani,nimefarijika kuona bandiko lako tena hapa jukwaani.

Ila alieleta siasa duniani hususani huku kwetu afrika alaaniwe.
 
Zile kauli zake za ‘na hili mkaliangalie’ ‘na hili mkalitazame’, zinamuonyeshaga kuwa nchi kawaachia watu fulani, yeye ni incompetent. Na huwa hazina ufatiliaji. Akiongea hapo kamaliza. Sad. Sikutegemea awe hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…