RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Usijali. Mbowe akishika madaraka atakuwa na suluhu ya kila kitu. Lakini kwa sasa tujikite kwenye uokoaji.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
Turudishe kipara cha zamaniUnashauri nini hiyo kadhia isijirudie!
Unaona poa kwakua halijakutokea wewe Wala familia Yako. Msiba usikie kwa mwenzioHilo si tukio la kwanza ghorofa kuanguka, hata tukio la moto hPo karibu ya Big Bon iliwachukua muda waokozi kufika. Wewe unaona jipya ila sisi tunaona poa tu, limepita salama.
🤣🤣🤣🤣Tatizo sio CCM tatizo ni wananchi wenyewe. kuna ujinga na ushamba, imagine jeshi linakuja kwa kuchelewa, wanatembea kama wanaenda kwenye harusi, kisha wajinga waashangilia et "jeshi, jeshi jeshi" huo ni ujinga zaidi
Upeo wako umeishia hapo!Turudishe kipara cha zamani
Maafa hayana interejensia ambayo mnasema jeshi lenu linayo?
Mzee watu wanapigania maisha wewe unapolitisize?Serikali ni viongozi wa serikalini, hao wanafanya juu chini wabaki madarakani. Wapo radhi kufanya lolote wabaki madarakani (ubinafsi).
Maandamano ya namna yoyote kuipinga serikali yanaondoka na viongozi kadhaa, japo sio kuondolewa au kushtakiwa ila ni kushushwa cheo tu ila hamna kiongozi wa Tz anataka hilo.
Ila maafa ya namna hiyo hayaondoki na cheo chochote, hata raia wakifa buku.
Kujitetea na kuomba msamaha ni rahisi.
Baada ya Wiki malalamiko yote mmeshayasahauKwa hiyo maneno kama sio mageni hapo mjini ndio yasifanyiwe kazi ? Ebu fikiria watu kusema kuhusu changamoto ya maji , kwani ni maneno mageni hapo mjini? Je kujibu hivyo ndio kutatua hiyo changamoto ?
Kuna maana gani kupiga kura ambazo unajua zitaibiwa tu. ???? Kwamba unaamini watu wasiopiga kura hawana haki ya kukosoa? Umetumia kifungu kipi cha katiba na sheria?Baada ya Wiki malalamiko yote mmeshayasahau
Wewe unaamini maneno ya Watz,kwanza hawa wanaolalamika hata kura hua hawapigi.
Kuna rafiki yangu mmoja ni "SOLDIER" alisema TZ ikitokea vita na Rwanda ya Kagame,tunapigwa vizuri na ndani ya week mbili kagame atakuwa DSM.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
Nchi inaongozwa na wahuni ambao wanafqnya kila jitihada kurndelea kubaki madarakani ili waendeleze wizi kwa manufaa yao na familia zao. Kama kuna tishio kwa madaraka yao wako tayari kutumia vikosi vyote vya ulinzi na usalama kutishia watu ila wakati wa maafa wao wako angani wanafikiria matanuzi tu.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
Kwani ujinga na ubovu wa serikali huonekana wapi na wakati gani?Chadema wanachomekea siasa kwenye maafa, wapuuzi sana.
Mjinga wewe kudhani kuwa sio tatizo la kisiasa..!Hili tatizo sio la kisiasa mkuu ..
Usitumie mihemko, Hilo jengo halijajengwa jana ..