Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Andiko lako linaonyesha huna utu na Utanzania. Badilika!🙏🙏🙏
Unafikiri Utanzania ni kuwa fala? Hapana kabisa.
Hilo mlikubali wenyewe ma
Sishabikii chama chochote. Wote nawaona hawana akili
Serikali lazima iongozwe na chama au iwe chini ya utawala wa kijeshi.
Sasa kwa vile jeshi sio jambo jema kuwaacha waongoze inabidi chama. Na CCM ndio hiyo imezeeka na kuwa ya hovyo kabisa!
Lazima iondoke kwa uchaguzi na wawepo wengine ambao nao wakishindwa tunawatoa. Ndio utamaduni dunia nzima
Tangu CCM ishike madaraka hili ndyo janga kubwa?, you must be a Gen Z Kid!!
Ona hili Toto la shule za kata lililojiunga JF 2024!
Unawafahamu members wa awali wa JF waanzilishi? Unamuita (baba yako) mtu Gen Z kid bila kuchunguza? Kuwa na adabu basi mwanangu!
 
Yaah mimi ni mjinga sana mkuu, Ni
Mjinga kiasi kwamba nimeshindwa kutambua siasa inavyochangia kutokea kwa Majanga...

Ikiwemo ilivyochangia mafuriko kule Arusha, maporomoko ya ardhi kule HANANG ..

Pia sijaona Siasa mbovu za nchi kama china mpaka hili jengo likaanguka bila sababu mwaka 2009 .

Wewe ni Genious sana, unaona mbali 👏👏
View attachment 3153851

NB: Siasa China ni hovyo sana, just imagine walishindwa kusimamia ujenzi wa hili jengo 😆😆
Acha kuhemka bure! Janga halihusiani na siasa inayoendesha serikali, bali mada hapa ni jinsi serikali ya CCM inavyo shindwa kukabiliana na majanga yanapotokea.
Hakuna vifaa, ujuzi wala manpower ya kukabiliana na majanga maana hayana kipaumbele kwao zaidi ya ujinga huu wa kununua visivyo na msingi.
 
Attachments

  • IMG-20241116-WA0032.jpg
    IMG-20241116-WA0032.jpg
    47.7 KB · Views: 5
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 2
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 2
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
Acha kuhemka bure! Janga halihusiani na siasa inayoendesha serikali, bali mada hapa ni jinsi serikali ya CCM inavyo shindwa kukabiliana na majanga yanapotokea.
Hakuna vifaa, ujuzi wala manpower ya kukabiliana na majanga maana hayana kipaumbele kwao zaidi ya ujinga huu wa kununua visivyo na msingi.
🚮🚮🚮
 
Unaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
sasa kama walioko madarakani, hakuna wanachofanya zaidi ya kuifisadi nchi, wafanyweje!
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
Imebidi nicheke tu huku nalia.
 
Unaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
Serikali ya kipumbavu ikipinduliwa wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?Merde!
 
Hilo si tukio la kwanza ghorofa kuanguka, hata tukio la moto hPo karibu ya Big Bon iliwachukua muda waokozi kufika. Wewe unaona jipya ila sisi tunaona poa tu, limepita salama.
Limepita salama kwa sababu hauko chini ya kifusi cha ghorofa. Hii nchi ipo siku watu watauana kama Wahutu na Watutsi kwa sababu ya kejeli za aina hii
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
Wewe jamaa ni kiazi.
Ccm hawategemei box la kura ndio maana ni wajeuri na hawajali kitu chochote
 
Kwa kweli CCM ni janga kubwa kwa Taifa. Yaani serikali ya CCM hakuna jema inayoliweza, zaidi ya uovu. MV Bukoba watu walipotea kwa uzembe. Ajali ya ndege Bukoba, uzembe mtupu. Ajali mbalimbali zinazohitaji uokozi, hakuna wakati ambapo Serikali imewahi kufanya kama inavyotakiwa. Wanachokiweza ni uovu wa kupora uchaguzi, kufanya ufisadi, kuteka na kuua watu!!
Kipau mbele kwa sasa ni mapingamizi. Na pale kariakoo walikuwa wanapishana kila mtu na li 8 lake la ml 500 nani anajalo wakati TISS, POLICE, Walimu wapo siku ya uchaguzi?
 
.. mikono mitupu kuokoa watu hii n...
Yaani Hata kutoa pole waliofikwa na maafa na kuwapongeza wale walijitolea kutoa msaada haraka, hukuona umuhimu wake...bali kuibuka na shutuma!!!

Na mwisho wa shutuma hutoi Hata ni namna gani kusaidia uokozi kwa wale ambao bado wamekwama!!!

Kuna msemo Fulani, Invisible alikuwa anauweka kwenye sahihi yake ule wa ficha ...... ungekufaa sana
 
Ungeacha unafiki mkuu ingekufikisha mbali! Una uhakika gani sijashiriki kutoa pole au msaada?
Hapa ni pa wake up call hakuna nafasi ya kupongeza au kutoa pole, we kama unataka pole thread ziko nyingi katoe hata huo ushauri! Tunasema hapa kuwa kuichagua CCM tena ituongoze baada ya failure ya 60 years ni uendawazimu!
Jee wewe unataka kuwa miongoni wa hao wendawazimu wapigao kelele "mitano tena" kwa kicheko huku kila siku tunalia kwa kushindwa kuokolewa kwenye majanga?
Pesa zetu za kodi badala ya kununua nyenzo za uokoaji wao wana shindania ma V8?
Uendawazimu wa highest level
 
Back
Top Bottom