Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vifo vya wananchi kwenye ajali kama hizi ni mtaji wa kiroho wa chama!

Nawaza tu ,labda ndio maana vyombo vya uokozi vilicheleweshwa Kila ajali inapotokea!
 
Serikali ni viongozi wa serikalini, hao wanafanya juu chini wabaki madarakani. Wapo radhi kufanya lolote wabaki madarakani (ubinafsi).

Maandamano ya namna yoyote kuipinga serikali yanaondoka na viongozi kadhaa, japo sio kuondolewa au kushtakiwa ila ni kushushwa cheo tu ila hamna kiongozi wa Tz anataka hilo.

Ila maafa ya namna hiyo hayaondoki na cheo chochote, hata raia wakifa buku.

Kujitetea na kuomba msamaha ni rahisi.
 
Mleta mjadala unakosea kuleta siasa. Povu ungeliekeza kwa taasisi inayohusika na majanga kwa nini wasiwe active kufika haraka eneo la tukio
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
Usijali. Mbowe akishika madaraka atakuwa na suluhu ya kila kitu. Lakini kwa sasa tujikite kwenye uokoaji.
 
Hilo si tukio la kwanza ghorofa kuanguka, hata tukio la moto hPo karibu ya Big Bon iliwachukua muda waokozi kufika. Wewe unaona jipya ila sisi tunaona poa tu, limepita salama.
Unaona poa kwakua halijakutokea wewe Wala familia Yako. Msiba usikie kwa mwenzio
 
Tatizo sio CCM tatizo ni wananchi wenyewe. kuna ujinga na ushamba, imagine jeshi linakuja kwa kuchelewa, wanatembea kama wanaenda kwenye harusi, kisha wajinga waashangilia et "jeshi, jeshi jeshi" huo ni ujinga zaidi
🤣🤣🤣🤣
 
Maafa hayana interejensia ambayo mnasema jeshi lenu linayo?

Serikali ni viongozi wa serikalini, hao wanafanya juu chini wabaki madarakani. Wapo radhi kufanya lolote wabaki madarakani (ubinafsi).

Maandamano ya namna yoyote kuipinga serikali yanaondoka na viongozi kadhaa, japo sio kuondolewa au kushtakiwa ila ni kushushwa cheo tu ila hamna kiongozi wa Tz anataka hilo.

Ila maafa ya namna hiyo hayaondoki na cheo chochote, hata raia wakifa buku.

Kujitetea na kuomba msamaha ni rahisi.
Mzee watu wanapigania maisha wewe unapolitisize?
 
Kwa hiyo maneno kama sio mageni hapo mjini ndio yasifanyiwe kazi ? Ebu fikiria watu kusema kuhusu changamoto ya maji , kwani ni maneno mageni hapo mjini? Je kujibu hivyo ndio kutatua hiyo changamoto ?
Baada ya Wiki malalamiko yote mmeshayasahau
Wewe unaamini maneno ya Watz,kwanza hawa wanaolalamika hata kura hua hawapigi.
 
Baada ya Wiki malalamiko yote mmeshayasahau
Wewe unaamini maneno ya Watz,kwanza hawa wanaolalamika hata kura hua hawapigi.
Kuna maana gani kupiga kura ambazo unajua zitaibiwa tu. ???? Kwamba unaamini watu wasiopiga kura hawana haki ya kukosoa? Umetumia kifungu kipi cha katiba na sheria?
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
Kuna rafiki yangu mmoja ni "SOLDIER" alisema TZ ikitokea vita na Rwanda ya Kagame,tunapigwa vizuri na ndani ya week mbili kagame atakuwa DSM.

Nilimbishia sana, Leo napata jibu kama katika issue ya ajali vyombo vya ulinzi na usalama hasa JW wanahusika kusaidia wakati wa majanga.

Response yao imechukua mda mrefu mno, Vipi Leo Kagame akifanya shambulizi la ghafla tutapona??

Mpaka Leo natafakari nchi yangu, sifa ya jeshi letu, na nguvu za kagame na slow responce yetu kwenye majanga.

Tumuombe Mungu, tuishi na jirani yetu Kagame kwa AKILI.

2025 kataa CCM, kataa Mama Abdul, TANZANIA kwanza Vyama baadae!!!
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
Nchi inaongozwa na wahuni ambao wanafqnya kila jitihada kurndelea kubaki madarakani ili waendeleze wizi kwa manufaa yao na familia zao. Kama kuna tishio kwa madaraka yao wako tayari kutumia vikosi vyote vya ulinzi na usalama kutishia watu ila wakati wa maafa wao wako angani wanafikiria matanuzi tu.
 
Uwekezaji kwenye akili za watu ni jambo muhimu sana.

Sasa jengo limeanguka lenyewe tu, hakuna tetemeko wala kimbunga, halafu unakuta taratibu zote za ujenzi zilifuatwa.
 
Hili tatizo sio la kisiasa mkuu ..

Usitumie mihemko, Hilo jengo halijajengwa jana ..
 
Chadema wanachomekea siasa kwenye maafa, wapuuzi sana.
Kwani ujinga na ubovu wa serikali huonekana wapi na wakati gani?

JIBU NI: Ni response yake wakati wa kushughulikia majanga kama haya

Wether unapenda au hutaki, ukweli ni kuwa CCM na serikali yake kwenye kushughulikia uhai na ustawi wa watu sio kipaumbele chao. Kipaumbele chao ni kutetea uwepo wao madarakani na matumbo yao...

Kwa fyongo na udhaifu huu wa serikali yenu utazuiaje wapinzani wenu kisiasa kuwapiga mawe na kuwaona hamfai...???

Tukio hili la Kariokoo leo ni ushahidi wa ubovu wa CCM na hivyo serikali yao na tayari wiki ijayo zinaanza kampeni za uchaguzi wa viongozi wa vijiji, mitaa/vitongoji....

Huwezi kuzuia wapinzani wenu kuifanya hii kuwa ni ajenda na nyundo mojawapo ya kuwapondea nayo CCM wakati wa kampeni kuwa hamfai kuaminiwa tena...
 
Hili tatizo sio la kisiasa mkuu ..

Usitumie mihemko, Hilo jengo halijajengwa jana ..
Mjinga wewe kudhani kuwa sio tatizo la kisiasa..!

Hawa viongozi wanaotunga sera za ujenzi na kufanya maamuzi wametoka wapi kama sio kupitia michakato ya kisiasa...?

Wewe unadhani ni kina nani wanaopanga na kupitisha bajeti za mapato na matumizi ikiwemo bajeti ya kuimarisha taasisi za uokozi kuhakikisha Zina vifaa vya kuokolea wakati wa majanga kama sio wanasiasa hawa walioko madarakani wakiwemo wabunge...??

Ni mtu mwenye akili zilizokufa tu kudhani kuwa hayo ni mapenzi ya Mungu kutaka watu wafie kwenye jengo lililojengwa chini ya kiwango na binadamu kwa sababu ya rushwa...!!

Ndiyo, rushwa. Kwa sababu inawezekana kibali cha ujenzi kilipatikana kwa rushwa, consultant kwa sababu ya rushwa alikuwa anaziona kasoro za kujenga chini ya kiwango mapema, lakini hakuchukua hatua kuepusha janga kama hili kwa sababu tu alipewa kitu kidogo kumfumba mdomo...

Rushwa, rushwa, rushwa ndilo tatizo....................!!!!

Na hili linaanzia kwenye michakato ya kupata viongozi tunaowaweka kufanya maamuzi na kusimamia mipango na sera zikiwemo za ujenzi....

Kama kiongozi aliipata nafasi hiyo ya uongozi kwa njia ya rushwa, usitegemee akafanya maamuzi sahihi ktk kusimamia ustawi wa watu anaowaongoza...

Kiongozi wa namna hii hana tofauti na jambazi mwizi na muuaji...

KWA HIYO: Siasa na wanasiasa ndiyo wanaamua kila kitu katika maisha yako....

Wanaamua hali ya uchumi wa nchi, ujenzi na makazi ya watu, elimu, maji, umeme, ujenzi wa barabara, muabudu au msiabudu nk

Kwa hiyo acha kuwa mjinga. Jielimishe Ili uyajue sawasawa mambo haya...!!!
 
Back
Top Bottom