atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kwani hizo taasisi zinasimamiwa na serikali ya chama gan?Mleta mjadala unakosea kuleta siasa. Povu ungeliekeza kwa taasisi inayohusika na majanga kwa nini wasiwe active kufika haraka eneo la tukio
Unafikiri Utanzania ni kuwa fala? Hapana kabisa.Andiko lako linaonyesha huna utu na Utanzania. Badilika!🙏🙏🙏
Serikali lazima iongozwe na chama au iwe chini ya utawala wa kijeshi.Sishabikii chama chochote. Wote nawaona hawana akili
Ona hili Toto la shule za kata lililojiunga JF 2024!Tangu CCM ishike madaraka hili ndyo janga kubwa?, you must be a Gen Z Kid!!
Acha kuhemka bure! Janga halihusiani na siasa inayoendesha serikali, bali mada hapa ni jinsi serikali ya CCM inavyo shindwa kukabiliana na majanga yanapotokea.Yaah mimi ni mjinga sana mkuu, Ni
Mjinga kiasi kwamba nimeshindwa kutambua siasa inavyochangia kutokea kwa Majanga...
Ikiwemo ilivyochangia mafuriko kule Arusha, maporomoko ya ardhi kule HANANG ..
Pia sijaona Siasa mbovu za nchi kama china mpaka hili jengo likaanguka bila sababu mwaka 2009 .
Wewe ni Genious sana, unaona mbali 👏👏
View attachment 3153851
NB: Siasa China ni hovyo sana, just imagine walishindwa kusimamia ujenzi wa hili jengo 😆😆
NdioMzee watu wanapigania maisha wewe unapolitisize?
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
🚮🚮🚮Acha kuhemka bure! Janga halihusiani na siasa inayoendesha serikali, bali mada hapa ni jinsi serikali ya CCM inavyo shindwa kukabiliana na majanga yanapotokea.
Hakuna vifaa, ujuzi wala manpower ya kukabiliana na majanga maana hayana kipaumbele kwao zaidi ya ujinga huu wa kununua visivyo na msingi.
KijikoKwa ulaya ni mashine gani ingetumika kupakuwa au kupunguza mizigo ili kuwafikia waliopo ndani chini?
sasa kama walioko madarakani, hakuna wanachofanya zaidi ya kuifisadi nchi, wafanyweje!Unaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
Imebidi nicheke tu huku nalia.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
Serikali ya kipumbavu ikipinduliwa wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako?Merde!Unaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
Limepita salama kwa sababu hauko chini ya kifusi cha ghorofa. Hii nchi ipo siku watu watauana kama Wahutu na Watutsi kwa sababu ya kejeli za aina hiiHilo si tukio la kwanza ghorofa kuanguka, hata tukio la moto hPo karibu ya Big Bon iliwachukua muda waokozi kufika. Wewe unaona jipya ila sisi tunaona poa tu, limepita salama.
Wewe jamaa ni kiazi.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
Kipau mbele kwa sasa ni mapingamizi. Na pale kariakoo walikuwa wanapishana kila mtu na li 8 lake la ml 500 nani anajalo wakati TISS, POLICE, Walimu wapo siku ya uchaguzi?Kwa kweli CCM ni janga kubwa kwa Taifa. Yaani serikali ya CCM hakuna jema inayoliweza, zaidi ya uovu. MV Bukoba watu walipotea kwa uzembe. Ajali ya ndege Bukoba, uzembe mtupu. Ajali mbalimbali zinazohitaji uokozi, hakuna wakati ambapo Serikali imewahi kufanya kama inavyotakiwa. Wanachokiweza ni uovu wa kupora uchaguzi, kufanya ufisadi, kuteka na kuua watu!!
Wewe ndiye ubadilike.Andiko lako linaonyesha huna utu na Utanzania. Badilika!🙏🙏🙏
Yaani Hata kutoa pole waliofikwa na maafa na kuwapongeza wale walijitolea kutoa msaada haraka, hukuona umuhimu wake...bali kuibuka na shutuma!!!.. mikono mitupu kuokoa watu hii n...
Ungeacha unafiki mkuu ingekufikisha mbali! Una uhakika gani sijashiriki kutoa pole au msaada?Yaani Hata kutoa pole waliofikwa na maafa na kuwapongeza wale walijitolea kutoa msaada haraka, hukuona umuhimu wake...bali kuibuka na shutuma!!!
Na mwisho wa shutuma hutoi Hata ni namna gani kusaidia uokozi kwa wale ambao bado wamekwama!!!
Kuna msemo Fulani, Invisible alikuwa anauweka kwenye sahihi yake ule wa ficha ...... ungekufaa sana