milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Wewe kama kiongozi awamu ya 6, hujisikii vibaya, bibi kupaa na pipa hapa Dar,anawacha mamia ya watanganyika chini ya vifusi wakiomba msaada wa kupatia oxygen?Tangu lini Tanzania ikawa na utayati mkubwa na Uokoaji?
Kuna wakati Serikali ya Mwendazake ilitenga pesa za kununua vifaa vya ukokoaji lakini akakataa na kutimua viongozi wa Wizara ,haya Sasa aje kuwaokoa ππ
Hata mgombea binafsi anatufaa. Vyama vyote ni wachumia tumboTukiingize chama kipi?
π€£π€£π€£π€£Usijali. Mbowe akishika madaraka atakuwa na suluhu ya kila kitu. Lakini kwa sasa tujikite kwenye uokoaji.
Ghaza pia CCM inahusika? I mean; kinacho endelea Ghaza sisi kama Watanzania tunatakiwa kufanya nini?Sasa what you see there ni jambo dogo ulinganisha na Magorofa yanayoanguka Ghaza
Wala sijiskii vibaya Kwa vile Samia kusafiri Urais wake haujasafiri.Wewe kama kiongozi awamu ya 6, hujisikii vibaya, bibi kupaa na pipa hapa Dar,anawacha mamia ya watanganyika chini ya vifusi wakiomba msaada wa kupatia oxygen?
Unapata wapi ujasiri wa kukalia kiti na kukunja nne namna hii eneo ambalo Kuna wenzio wamenasa wanataabika ndani ya vifusi huku wakihitaji msaada wa kutolewa?Wala sijiskii vibaya Kwa vile Samia kusafiri Urais wake haujasafiri.
Pili Mwenyekiti wa kamati ya maafa Kitaifa yupo ni PM anaendelea kuratibu zoezei
Uwepo wa Samia utasaidiwa nini hapo Kariakoo? Ndio Jengo litaamka? Yeye ni Mtaalamu wa Uokoaji?
Acha upuuzi,Rais anatimiza wajibu wake wa jwezeshaji namkutoa taarifa huko huko lakini pia ahakikishe anahudhuria G20 Kwa sababu hajaenda kupiga picha ila kikazi.
View attachment 3155030
Si bora tu yawr hivyo kama mambo ndio hayaUnaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
Wajibu wake kwa ajili ya kina nani..? Umejibu kama kichwa kisicho na akili.Wala sijiskii vibaya Kwa vile Samia kusafiri Urais wake haujasafiri.
Pili Mwenyekiti wa kamati ya maafa Kitaifa yupo ni PM anaendelea kuratibu zoezei
Uwepo wa Samia utasaidiwa nini hapo Kariakoo? Ndio Jengo litaamka? Yeye ni Mtaalamu wa Uokoaji?
Acha upuuzi,Rais anatimiza wajibu wake wa jwezeshaji namkutoa taarifa huko huko lakini pia ahakikishe anahudhuria G20 Kwa sababu hajaenda kupiga picha ila kikazi.
View attachment 3155030
Hapa nimekuelewa πSasa kwa hiki ulichokileta hapa, simama na ukubaliane nami kuwa serikali zote za China na Tanganyika haziwezi kukwepa lawana za maafa haya...
Nimekuuliza kazi za Urais Huwa zinasimama Rais akisafiri?Wajibu wake kwa ajili ya kina nani..? Umejibu kama kichwa kisicho na akili.
Raisi wa tz ni kwa ajili wa watanzania sasa watanzania wanakufa kwa ajali hii wewe una ongea usengekima
Kipi kisichoeleweka au we ndo wajitoa akili? β jeshi jeshi.. β ni kama vile watu wa kazi wameingia mambo yataenda, watu wakazi wenyewe wako mikoni mitupu wanatbea kama vile hawajui kinachoendela,Inawezekana hukuelewa lugha waliyo kuwa wakiitumia hao watu kwa hilo jeshi? Ningependa kuamini kuwa wananchi hao walikuwa na maana yao tofauti na uliyo ielewa wewe.
Pamoja na elimu Yako nzuri, na cheo chako kikubwa,bado wewe ni chawa wa Saa100?Wala sijiskii vibaya Kwa vile Samia kusafiri Urais wake haujasafiri.
Pili Mwenyekiti wa kamati ya maafa Kitaifa yupo ni PM anaendelea kuratibu zoezei
Uwepo wa Samia utasaidiwa nini hapo Kariakoo? Ndio Jengo litaamka? Yeye ni Mtaalamu wa Uokoaji?
Acha upuuzi,Rais anatimiza wajibu wake wa jwezeshaji namkutoa taarifa huko huko lakini pia ahakikishe anahudhuria G20 Kwa sababu hajaenda kupiga picha ila kikazi.
View attachment 3155030
Nyie si mnasema Wanasiasa waje kufanya Uokoaji? Acha waokoe Sasa maana mnamkomoronea Rais aache mikutano aje kuwashangaa kama hapo ππUnapata wapi ujasiri wa kukalia kiti na kukunja nne namna hii eneo ambalo Kuna wenzio wamenasa wanataabika ndani ya vifusi huku wakihitaji msaada wa kutolewa?
CCM nani aliyewaroga?
CC: Saa100Jengo la ghorofa 3 siku ya 4 hatujaweza kumaliza kazi! Hii haikubaliki kabisa na ni aibu!
Mkuu huwa wanafanya "ile kitu mbaya"Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
Mimi nafikiri wa kupimwa kwanza akili ni wewe kama huoni jitihada zinazofanywa. Nilitegemea badala ya kuongelea uokoaji ungejikita katika utoa wa vibali vya ujenzi.Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
Kuwepo kwa viongozi ni jambo moja na kuwajibika ni jambo lingine hao wameenda kutalii na kujionyesha ila hawana impact yeyote hapo.Nyie si mnasema Wanasiasa waje kufanya Uokoaji? Acha waokoe Sasa maana mnamkomoronea Rais aache mikutano aje kuwashangaa kama hapo ππ