Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Pre GE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tangu lini Tanzania ikawa na utayati mkubwa na Uokoaji?

Kuna wakati Serikali ya Mwendazake ilitenga pesa za kununua vifaa vya ukokoaji lakini akakataa na kutimua viongozi wa Wizara ,haya Sasa aje kuwaokoa 😁😁
Wewe kama kiongozi awamu ya 6, hujisikii vibaya, bibi kupaa na pipa hapa Dar,anawacha mamia ya watanganyika chini ya vifusi wakiomba msaada wa kupatia oxygen?
 
Wewe kama kiongozi awamu ya 6, hujisikii vibaya, bibi kupaa na pipa hapa Dar,anawacha mamia ya watanganyika chini ya vifusi wakiomba msaada wa kupatia oxygen?
Wala sijiskii vibaya Kwa vile Samia kusafiri Urais wake haujasafiri.

Pili Mwenyekiti wa kamati ya maafa Kitaifa yupo ni PM anaendelea kuratibu zoezei

Uwepo wa Samia utasaidiwa nini hapo Kariakoo? Ndio Jengo litaamka? Yeye ni Mtaalamu wa Uokoaji?

Acha upuuzi,Rais anatimiza wajibu wake wa jwezeshaji namkutoa taarifa huko huko lakini pia ahakikishe anahudhuria G20 Kwa sababu hajaenda kupiga picha ila kikazi.
20241118_065429.jpg
 
View attachment 3155030
Unapata wapi ujasiri wa kukalia kiti na kukunja nne namna hii eneo ambalo Kuna wenzio wamenasa wanataabika ndani ya vifusi huku wakihitaji msaada wa kutolewa?

CCM nani aliyewaroga?
 
Unaleta siasa kwenye mambo ya maafa, maandamano yanaweza kugeuka na kuwa kikundi cha mapinduzi yakapindua serikali. Hivyo basi ni lazima yadhibitiwa mapema kwa nguvu zote, huwezi kufananisha na maafa yanayotokea ghafla bila kupangwa na watu
Si bora tu yawr hivyo kama mambo ndio haya
 
Wala sijiskii vibaya Kwa vile Samia kusafiri Urais wake haujasafiri.

Pili Mwenyekiti wa kamati ya maafa Kitaifa yupo ni PM anaendelea kuratibu zoezei

Uwepo wa Samia utasaidiwa nini hapo Kariakoo? Ndio Jengo litaamka? Yeye ni Mtaalamu wa Uokoaji?

Acha upuuzi,Rais anatimiza wajibu wake wa jwezeshaji namkutoa taarifa huko huko lakini pia ahakikishe anahudhuria G20 Kwa sababu hajaenda kupiga picha ila kikazi.
View attachment 3155030
Wajibu wake kwa ajili ya kina nani..? Umejibu kama kichwa kisicho na akili.
Raisi wa tz ni kwa ajili wa watanzania sasa watanzania wanakufa kwa ajali hii wewe una ongea usengekima
 
Sasa kwa hiki ulichokileta hapa, simama na ukubaliane nami kuwa serikali zote za China na Tanganyika haziwezi kukwepa lawana za maafa haya...
Hapa nimekuelewa 👏

Tuconclude hivi Usimamizi mbovu kwa namna moja ama nyingine unachangia...

Lakini pia ziko sababu za kiuzembe, Upigaji na Kukosa ujuzi sahihi ...

Naweza sema wewe umezungumzia zaidi Political factors Na mimi nimejikita zaidi kwenye Economical, Social & Environmental factors..

Kumbe Sioni sababu ya kila mmoja kukazia zaidi upande wake, Wakati sababu zote huchangia kuoporomoka kwa majengo...

Nafurahi sana napokutana na watu majasiri wa ku_engaje kwenye conversations ngumu kama hizi bila kuruhusu hisia kuingilia...
 
Wajibu wake kwa ajili ya kina nani..? Umejibu kama kichwa kisicho na akili.
Raisi wa tz ni kwa ajili wa watanzania sasa watanzania wanakufa kwa ajali hii wewe una ongea usengekima
Nimekuuliza kazi za Urais Huwa zinasimama Rais akisafiri?

Tufanye yupi ndio kutatokea nini Sasa Cha maana hapo Kariakoo?

Mwisho tufanye wewe au Mimi nimepata ajali harafu nikaambiws Rais amesafiri ila kazi zinaendelea ndio itakuwa nini hasa?

Mpumbavu kama wewe hakuna unachofanya kusaidia Uokoaji ila unabwabwaja na kubeza , pumbavu
 
Inawezekana hukuelewa lugha waliyo kuwa wakiitumia hao watu kwa hilo jeshi? Ningependa kuamini kuwa wananchi hao walikuwa na maana yao tofauti na uliyo ielewa wewe.
Kipi kisichoeleweka au we ndo wajitoa akili? “ jeshi jeshi.. “ ni kama vile watu wa kazi wameingia mambo yataenda, watu wakazi wenyewe wako mikoni mitupu wanatbea kama vile hawajui kinachoendela,

Au hilo nalo hadi taarifa rasmu ya polisi? Faq idiot
 
Wala sijiskii vibaya Kwa vile Samia kusafiri Urais wake haujasafiri.

Pili Mwenyekiti wa kamati ya maafa Kitaifa yupo ni PM anaendelea kuratibu zoezei

Uwepo wa Samia utasaidiwa nini hapo Kariakoo? Ndio Jengo litaamka? Yeye ni Mtaalamu wa Uokoaji?

Acha upuuzi,Rais anatimiza wajibu wake wa jwezeshaji namkutoa taarifa huko huko lakini pia ahakikishe anahudhuria G20 Kwa sababu hajaenda kupiga picha ila kikazi.
View attachment 3155030
Pamoja na elimu Yako nzuri, na cheo chako kikubwa,bado wewe ni chawa wa Saa100?
 
Unapata wapi ujasiri wa kukalia kiti na kukunja nne namna hii eneo ambalo Kuna wenzio wamenasa wanataabika ndani ya vifusi huku wakihitaji msaada wa kutolewa?

CCM nani aliyewaroga?
Nyie si mnasema Wanasiasa waje kufanya Uokoaji? Acha waokoe Sasa maana mnamkomoronea Rais aache mikutano aje kuwashangaa kama hapo 😁😁
 
Jengo la ghorofa 3 siku ya 4 hatujaweza kumaliza kazi! Hii haikubaliki kabisa na ni aibu!
 
Waziri mkuu ni mwalimu ,yeye na majanga wapi na wapi?
Alisema JPM Yuko hai mmesahau
 
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.

Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?

Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".

Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.

View attachment 3153700
Mimi nafikiri wa kupimwa kwanza akili ni wewe kama huoni jitihada zinazofanywa. Nilitegemea badala ya kuongelea uokoaji ungejikita katika utoa wa vibali vya ujenzi.
 
Nyie si mnasema Wanasiasa waje kufanya Uokoaji? Acha waokoe Sasa maana mnamkomoronea Rais aache mikutano aje kuwashangaa kama hapo 😁😁
Kuwepo kwa viongozi ni jambo moja na kuwajibika ni jambo lingine hao wameenda kutalii na kujionyesha ila hawana impact yeyote hapo.

Hakuna aliyesema Rais awepo eneo la tukio Bali uwepo wake nchini una maana kubwa sana
 
Back
Top Bottom