ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Point !Mleta mjadala unakosea kuleta siasa. Povu ungeliekeza kwa taasi inayohusika na majanga kwa nini wasiwe active kufika haraka eneo la tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point !Mleta mjadala unakosea kuleta siasa. Povu ungeliekeza kwa taasi inayohusika na majanga kwa nini wasiwe active kufika haraka eneo la tukio
inajirudisha yenyewe ikisaidiwa na doraKwani ccm huwa inarudishwa na wananchi ama vyombo vya dola?
Yaah mimi ni mjinga sana mkuu, Ni
Mjinga kiasi kwamba nimeshindwa kutambua siasa inavyochangia kutokea kwa Majanga...
Ikiwemo ilivyochangia mafuriko kule Arusha, maporomoko ya ardhi kule HANANG ..
Pia sijaona Siasa mbovu za nchi kama china mpaka hili jengo likaanguka bila sababu mwaka 2009 .
Wewe ni Genious sana, unaona mbali 👏👏
View attachment 3153851
NB: Siasa China ni hovyo sana, just imagine walishindwa kusimamia ujenzi wa hili jengo 😆😆
Mimi ni mjinga ambayo ni afadhali kuliko kuwa mpumbavu .Ndiyo ni "mjinga" ingalau katika ufahamu wa eneo hili. Ni vizuri kuwa umekiri mwenyewe kuwa u - mjinga na ndivyo ulivyo kweli...
Nikutie moyo kuwa ujinga unatibika..
Kwa hili la ajali ya kizembe ya Kariakoo - DSM, ngoja nikuwekee kwa lugha hii labda utaelewa...
Ni kwamba, majanga ya asili ni kitu kimoja na nchi/taifa kuwa tayari wakati wowote kujiandaa kukabiliana na majanga hayo kwa utaalamu na vifaa vya uokozi ni kitu kingine kabisa..!
Lakini Kuna maswali mawili kwako yafuatayo:
1. Kwa ufahamu na maoni yako, hili la kuporomoka jengo la Kariakoo - DSM unadhani ni "natural disaster" au "it's just a man made disaster" tokana na uzembe, sera mbovu za makazi na ujenzi na uongozi bomu wa nchi hii...?
2. Umelinganisha kuporomoka kwa jengo huko China na hapa kwetu Bongoland...
Uko sawa na haina shida....
Lakini ungeenda mbele zaidi kwa kulinganisha sababu za kuporomoka kwa jengo huko China na hapa Tanzania...
Halafu upige hatua mbele zaidi ulinganishe mwitikio wa taasisi/vyombo vya uokoaji huko China na hapa Bongo...
Ukimaliza kueleza hayo, njoo nirudie tuendelee kuijadili hoja ya:
Ni kwa vipi mambo haya yako related moja kwa moja na siasa na uongozi wa nchi yetu...
Asante, ubarikiwe...
Sasa sababu inayokufanya ubishane na mimi kwa hili ni nini hasa maana naona wazi kuwa tunatembea ktk mawazo sawa. Kwanini hukubali kuwa mambo haya shida inaanzia kwenye mifumo ya kisiasa na kisheria..?Mimi ni mjinga ambayo ni afadhali kuliko kuwa mpumbavu .
Nianze kujibu swali - Chanzo cha Jengo la Shanghai china kuporomoka [2009] ikujibu AI maana nikijibu mimi utaona kama naleta porojo ;View attachment 3154850
Je, hili jengo lilianguka bahati mbaya? Sasa jiulize Kati ya Tanzania na China nchi gani iko polical Stable? China
Iko hivi Gentleman - Mara nyingi hua mainjinia wanashindanishwa bei ya ujenzi, kila mmoja anaweka Masterplan yake na bei zake...
Sasa kwa nchi zetu za kipato cha chini Tajiri anachagua Engineer wa bei ya chini kupunguza gharama za uendeshaji...
Sasa Hapo hapo kwenye bei cheap bado Injinia atataka afaidike tena sababu bajeti aliyopanga ni ndogo hivyo atalazimika kupunguza viwango na kununua material fake ili apate faida kubwa ...
Watu wa serikali watafika kukagua wataambiwa ghorofa inafata viwango na tena wataonyeshwa sample fake za viwango bora, watatoa kibali, Over!!
[Ninaongea kama mtu mwenye Experience - Nimefanya kazi kama fundi kwenye Ghorofa kadhaa za watu Private before sijawa Mjasiriamali]
Unafikiri nini kitafuata? Jengo linakua linabet na Maisha ya watu mda wote .
Labda nikazie tena Chanzo kikuu cha majengo kuporomoka sio siasa ni Uzembe, kukosa ujuzi sahihi wa ujenzi pia Hali mbaya ya mfuko .
Hapa AI inaelezea kwa kina zaidi;
View attachment 3154849
Sababu ya ujinga walikua confident kabisa wakiamini wanafanya kitu sahihi, labda sababu hiyo mbinu ya kuchimba chini ya jengo imeshawahi kuwapa matokeo mazuri before...
NB : Niwape pole ndugu zetu wote waliopatwa na Majanga lakini sasa ni wakati sasa wa Mamlaka za ujenzi na Maengineer kujifunza ili makosa yasijirudie ...
Aisee, mkuu 'Chakaza', mbona unashangaza. Haya unamwambia nani? Huko huko kwa walio patwa na janga, hujaona wakitoa "shukrani" nyingi kwa mtu pekee anaye shikilia kila kitu ndani ya nchi hii kwa sasa hivi?Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
Nilipo anza kukusoma JF, nilikusoma tofauti na ninavyo kusoma sasa!Tukiongea humu tunaonekana wajuaji ila huo ndo ukweli.
CCM imefikiwa mwisho wa uwezo wake kuweza kuwapeleka Watanzania sehemu wanayotakiwa kuwa.
Mbaya zaidi saivi moderators wanafuta hadi nyuzi za maana ambazo watu wanaziandika kama sehemu ya mawazo huru
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
We binafsi umepiga hatua kiasi ganiTupo kwenye UJIMA yaan utadhani tupo kwenye primitive communalism 😇
Inawezekana hukuelewa lugha waliyo kuwa wakiitumia hao watu kwa hilo jeshi? Ningependa kuamini kuwa wananchi hao walikuwa na maana yao tofauti na uliyo ielewa wewe.Tatizo sio CCM tatizo ni wananchi wenyewe. kuna ujinga na ushamba, imagine jeshi linakuja kwa kuchelewa, wanatembea kama wanaenda kwenye harusi, kisha wajinga waashangilia et "jeshi, jeshi jeshi" huo ni ujinga zaidi
Mkuu Chakaza , you might be very right, ila ili mtu asiipigie kura CCM, lazima kuwepo chama mbadala cha kukipigia kura, but very unfortunately, kwa nchi yetu Tanzania, chama cha kuchagulika chenye uwezo wa kuiendesha nchi yetu Tanzania, ni kimoja, the one and only!, hivyo usipoichagua CCM, uchague nani?.Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
🤣🤣🤣🤣Wangekuwa CHAMA kingine wangefanya makubwa zaidi labda wawape chadema watafanya mazuri!
Swali zuri akikujibu nitagUnataka chama gani kiingie madarakani?
Tangu lini Tanzania ikawa na utayati mkubwa na Uokoaji?Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi wanatumia mikono mitupu kuokoa watu hii ni aibu kwa serikali hii.
Askari hawaonekani kama wale wa maandamano ya Chadema kwa mamia bali mmoja mmoja na kitambi chake, huu ni wendawazimu kabisa yaani kuyafanya maandamano ni ya hatari kuliko maafa kama kudondoka jengo na kufukia watu?
Pengine Mungu anatuonyesha ubovu wa serikali yetu tuliyokubali iwe madarakani huku pamoja na kutupatia "UFAHAMU" bado tunashangilia "mitano tena".
Kwa kweli kuipigia kura CCM tena tunastahili kupimwa akili kama ziko sawa.
View attachment 3153700
🤣🤣🤣Wenzao wanapigania uhai wao wanataka kujinufaisha kisiasa
Tukiingize chama kipi?Kuiondoa CCM madarakani