Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

Ache i ufala vijana....ndoa ni hela kama huna hela njoo ujiunge chaputa. Supply ya mlenda ipo ya kutosha
 
Asante sana, uliyosema yanatia moyo, so inspiring.
Nitajijenga kw kadri ya uwezo wangu, I hope milango itafunguka.

Asante tena, na be blessed pia

Stressfree#happyNewYear2025
 
Tafuta pesa kiasi kwamba aanze kuwa anawahadithia watu, mnaona yule jamaa anayemiliki kampuni ABC, kidogo awe mme wangu ila basi tu.
 

Kama una 50,000 Katoe shukrani, kuanzia sasa mambo yatanyokq
 

Kama una 50,000 Katoe shukrani, kuanzia sasa mambo yatanyoka!
 
Atajuaje kama umefanikiwa wewe uko dsm yeye yeye geita
Pesa huwa ananuka kama harufu mbaya. Wewe hebu fikiria watu uliosoma nao waliofanikiwa sana bila shaka unajua habari zao ila makapuku huna habari nao. Namaanisha atafute ela awe na pesa kweli sio pesa ya kununua subaru xt halafu aseme kafanikiwa.
 

Mimi Kuna age Fulani kwenye Maisha MAPENZI YAKAINGILIA KATI..

Ndio kwanza nimemaliza first degree sina mbele Wala nyuma..

NIKAENDA KUMTAMBULISHA MCHUMBA KWA MZEE..alipo ondoka mzee akanishangaa sina hata masters nakimbilia kuoa..eti na haraka na maisha 🤣🤣😂😂
Kusema UKWELI sikupata ushirikiano mzuri kwa wazazi nikampoteza yule mwanamke nilie mpenda Sanaa..

Unajua zile ngoja,kesho,baadae wanawake wengi huchoka kuzingojelea...ni story ndeefu...
"" LOVE IS JUST LIKE A WAR EASY TO START DIFFICULT TO END""
Maisha yakaenda Kasi tukasikiliza wazee now tuna familia zenye furaha TU.
Mambo mengine hutokea for DEVINE PURPOSES.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…