Takemetochurch
Member
- Dec 29, 2024
- 83
- 140
- Thread starter
- #81
Asnte sanaPole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asnte sanaPole
Ache i ufala vijana....ndoa ni hela kama huna hela njoo ujiunge chaputa. Supply ya mlenda ipo ya kutoshaMimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.
SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.
Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.
Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.
Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia
*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight
Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.
Asanteni
Mwanangu utamrudiaje snich kama huyoTafuta hela ukizipata mrudie au tafuta mwingine, 20s bado hujachelewa labda ukifika 35 hapo ndo inatakiwa ushtuke
Asante sana, uliyosema yanatia moyo, so inspiring.Ndugu
Kuzaliwa maskini siyo dhambi
Dhambi nikufa maskini
Una muda wa kutosha wa kuweza kusaka pesa na kutoka hapo ulipo
Jenga mtaji watu naamini utakaa Sawa
Kila mtu amefika hapo alipo kwa kupita kwenye mikono ya watu
Rai yangu, ukifanikiwa jitahidi kumwunua mtu mmoja Wapo apite kwenye mikono yako
Naamini itakuwa hivyo!
Stressfree#happyNewYear2025
Utakuwa na manzi mkali zaidi ya huyo
Upe muda nafasi!
Tafuta pesa kiasi kwamba aanze kuwa anawahadithia watu, mnaona yule jamaa anayemiliki kampuni ABC, kidogo awe mme wangu ila basi tu.Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.
SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.
Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.
Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.
Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia
*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight
Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.
Asanteni
Form wanajaza wap 😀Ache i ufala vijana....ndoa ni hela kama huna hela njoo ujiunge chaputa. Supply ya mlenda ipo ya kutosha
Asante man, I can take sarcams. I gat uUliwekeza nini na HAUNA HELA?
Kwani uko wapi, unashindwa kuchukua ma Ford Ranger, Discovery ya kukodi hapo Kinondoni ukababishia wiki halafu umpe mimba?
Asante sanaPole sana mkuu
Njoo wana wakupe ndinga wanapozubaa familia unapiga ujawepesi, akili zitatulia tuAsante man, I can take sarcams. I gat u
Ameen
Atajuaje kama umefanikiwa wewe uko dsm yeye yeye geitaTafuta pes akiasi kwamba aanze kuwa anawahadithia watu, mnaona yule jamaa anayemiliki kampuni ABC, kidogo awe mme wangu ila basi tu.
Njoo hapa head kotaz kinoleForm wanajaza wap 😀
Kabisa, asante sanaFurahia jambo hilo mana itakupa sababu za kutafuta pesa
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.
SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.
Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.
Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.
Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia
*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight
Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.
Asanteni
Asante san man, be blessedPole mwana.
Achana naye huyo binti. Utapata mwingine, Bomba, mtamu, Mwenye heshima na upendo toka kwake na wazazi wake.
Amini hivyo!
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika wote kw kilele cha mafanikio.
SHIDA iko hapa, nimezaliwa kwenye umaskini (si kigezo) na mpaka sasa sijatusua kimaisha kipato kidgo.
Now, wazazi wa binti HAWANITAKI.
Wamezuia mahusiano kati yangu na binti kw kigezo sina mbele wa nyuma, sina pesa, wanaona nitaharibu maisha ya binti.
Mpenz wangu huyu, umeungana na familia, akidai haoni future na mim tena, ilihali amekuw na mm kipind chote na haikuwah kuwa ishu before.
Nimepigwa pigo la Kimaisha na Kimapenzi pia
*Nimezongwa na maumivu, fedheha. Muda huu siwez kufikiria straight
Tafadhal naombeni ushauri/maoni/suggestions.
Asanteni
Asante sana, acha nipambanehakuna shida we pambana kutafuta pesa na utapata mwanamke anayekufaa
Mwanzoni nilidhan tunaendan ndo maan nilisettle, ila nitampata tu. Asante sanTafuta unaye endana naye
Pesa huwa ananuka kama harufu mbaya. Wewe hebu fikiria watu uliosoma nao waliofanikiwa sana bila shaka unajua habari zao ila makapuku huna habari nao. Namaanisha atafute ela awe na pesa kweli sio pesa ya kununua subaru xt halafu aseme kafanikiwa.Atajuaje kama umefanikiwa wewe uko dsm yeye yeye geita