Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

We umekula mbususu miaka mitatu free unaumia nini sasa. Tafuta mwingine kula mbususu maidha yasogee
 
Piga moyo konde endelea na mitikasi Yako.

Hukuzaliwa nae Bhana acha kujipa stress Mzee.

Hamishia hasira, masikitiko Yako kwenye kusaka noti na mipango Yako.

Akunyimae kunde amekupunguzia MASHUZI tu.
Wanaita "assertive anger", nitaitumia vzur.
Kikubwa nilinyimwa kunde, asante man
 
Kaka mimi nilishakataliwa na wanawake watatu age yako wote ni below 23 wanasema wanataka wajitafute kwanza ety wakishajenga nyumba wakawa na magari na wako fika 25 and above ndio wataolewa
Kinachoniuma san si fedheha ya pesa, ila ni mpenz kutonipambania, kupoteza imani juu yngu.
Ni vema kaonesha rangi mapema, asante man
 
Mm mtazamo kwa binti yangu ni , huyo kijana awe na
1> kijana awe na akili timamu
2> kijana awe na muonekano ili niwe na wajukuu wazuri
3> kijana asiwe shoga wa mlevi na vingine vya kufanana na hivyo.
Pesa watatafu wote.
 
Si mim niliyesema sina mbele wala nyuma, waliofanikiwa kimaish tanzania kw umri wangu hawafiki 30%.
Kufanikiw na mapambano yanayoenda na bahati.

Kupata na kukosa ni maisha, kam mzee wako ana mkwanja nakubaliana na wewe.
Umekua kwenye dunia hyo
 
Mimi kama mzazi ningekubali kwasababu nitakua nimesha muendeleza binti yangu Kielimu na kiuchumi na anajitengemea. Binti akijipata ata mpenzi wake akiwa haja jipata binti hata teseka kwasababu atakua na kipato chake yani ana jimudu.
Ameen
 
Safi sana!!
 
Si mim niliyesema sina mbele wala nyuma, waliofanikiwa kimaish tanzania kw umri wangu hawafiki 30%.
Kufanikiw na mapambano yanayoenda na bahati.

Kupata na kukosa ni maisha, kam mzee wako ana mkwanja nakubaliana na wewe.
Umekua kwenye dunia hyo
Kwahiyo unaona ni sawa aendelee kupigika na maisha kwa kukosa kwako?tafuta hela bro
 
Mkuu Mungu akitujalia 2025 pambana ya ela yote, mafanikio yako ndio rafiki yako wa kweli, yani kwenye haya maisha inabidi uwe unapambana kama Real madrid wakiwa knockout stage UEFA
Ntapamban kam Real Madrid, mkwanja unavuta mpk ndgu usiowajua. Asante ten 😀
 
Mm mtazamo kwa binti yangu ni , huyo kijana awe na
1> kijana awe na akili timamu
2> kijana awe na muonekano ili niwe na wajukuu wazuri
3> kijana asiwe shoga wa mlevi na vingine vya kufanana na hivyo.
Pesa watatafu wote.
Nakuliana na wewe, na huu unaweza kuwa mtazamo wangu kwenye swali kam hili.
Pesa zinatafutwa, zinakuja pia zinapotea, kuna kupata na kukosa. Ila Quality ya mtu haiwez kupotea daima.
Wewe ni mzaz mzur, bless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…