Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

Wafanyakazi wa taifa hili ni mazuzu na wapumbavu wengi wanaona bora kuwa chawa kuliko kupigania haki zao.
Wafanyakazi siyo wajinga kama wewe. Wanafahamu namna serikali yao chini ya Rais Samia inavyowapigania ,kuwajali na kuthamini mchango wao kwa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Ndio maana ni watulivu na wanaendelea na kazi na kuwa bega kwa bega na serikali yao.
 
Mama ametufikia hadi sisi wasanii wa bongo fleva na sanaa za maigizo na kubuni
 
Kwani mei mosi tena iliyofanyika mchana ulimuona? ila kwenye kigodoro cha Harmonize usiku alikuwepo!
Alikuwa kwenye majukumu ya kuwalisha nchi yetu kimataifa. CHADEMA roho zinawauma na kuona wivu mkubwa sana kwa kuona wasanii wote wakubwa walishawakataeni na kuwapuuza .maana wanafahamu ninyi ni matapeli na madalali wa siasa na hamna mchango wowote ule kwa maendeleo ya Taifa letu.
 
Umesema ukweli kabisa!
Umesema ukweli kabisa!
 
Wasanii hawa wataondoka na ccm muda mfupi sana ujao, yuko wapi Bichuka au Muumini Mwinjuma?
 
Bashiru na Ndugai walistahili kufanya walichotaka kufanya kusema ukweli.
Ujinga uliokujaa kichwani mwako ndio unaokusumbua wewe. Rais Samia ataendelea kusalia madarakani na kupeta kwakuwa anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
 
Ujinga uliokujaa kichwani mwako ndio unaokusumbua wewe. Rais Samia ataendelea kusalia madarakani na kupeta kwakuwa anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
Unaweza kuta ushawahi kuniomba posho nje ya JF ila humu unaniita mjinga, Lol
 
Wasanii hawa wataondoka na ccm muda mfupi sana ujao, yuko wapi Bichuka au Muumini Mwinjuma?
Itaondoka CHADEMA kama mvuke au moshi na kuicha CCM ikiendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka nenda rudi kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
 
Acha ujinga wewe, sio Kila anaehoji ni chadema
Acha ujinga wewe, watu wanafundo moyoni.
 
Wanajua wafanyakazi wa taifa hili hawana umoja ndio maana mnapuzwa TU.


KAZI ni kipimo cha UTU
 

WAFANYAKAZI WENYEWE WANA AKILI BASI?
 
Rushwa inatembea wewe pimbi!
 
Narudi Tena, KIKOKOTOO NI JINAMIZI KIKEMEWE KILA KONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…