Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Mkuu,
Show iliiisha MAPEMA before saa 22:30 hrs

Humu Kuna mhasibu okw boban sunzu afanye assignment ya impact of president Samia suluhu hassani ku attend harmonizer album releasing event hapo mlimani city mall... (It'sworth for Tanzania music industry)

mimi nasoma comment 😊
 
Mkuu kwani mei mosi ni jambo la gafla?kwann aende nje kabla hajajibu hoja za wafanyakazi
 
Mkuu kwani mei mosi ni jambo la gafla?kwann aende nje kabla hajajibu hoja za wafanyakazi
Hoja gani yawafanyakazi isiyojulikana na kujibika? Serikali imetoa ufafanuzi katika hoja zote za wafanyikazi na ndio sababu unaona wafanyakazi ni watulivu na wanaendelea na kazi ya kulitumikia Taifa letu.
 
Sikupingi huyu mama amewapuuza pakubwa sana watumishi wa umma
 
Hivi watumishi wa umma huwa wanapandishwa madaraja May mwaka huu wamepanda kweli?
 
Mjinga wewe ni muongo haswa, ulikuwepo?
 
Eti rais wa nchi anaenda kwenye show ya msanii na kutoka midnight, mbona hapo hakutuma mwakilishi kama anavyofanya kwenye mambo mengine?!
Kwa chawa wake huwa hatumi mwakili lakini kwenye mambo ya msingi huwa anawakilishwa mara kwa mara
 
Hakuna utekelezaji wa upandaji madaraja na vyeo,ongezeko la mishahara wala nini!

Ila Mungu yupo
 
Wachache watakuelewa
 
Reactions: Tsh
Acha UPOPOMA wewe.
USA na ULAYA kiujumla ni watu wanaoweza kutenganisha entertainment with political issues.
Wenzetu nje hawafananishi na kamwe hawachanganyi hivyo vitu.
JAY-Z na Kanye West walitaka kuchukua fomu za kugombea urais.
Unajua mashabiki zao waliwakosoa kwa namna gani!?
Wenzetu Ulaya na America hutofautisha burudani na siasa,hawavichanganyi hata kidogo.
France kulikua na maadhimisho ya tasnia ya filamu,je ulimuona EMMANUEL MACRON AKIHUSIKA?
Walitumwa wawakilishi wa hiyo kada ya tasnia ya filamu.
KITENDO KILICHOFANYIKA JANA NI UFALA MKUBWA,RAIS ANATAKIWA APIMIE MATUKIO YA KUHUDHURIA.

Shida yenu UVCCM mnajikuta mnajua kumbe ni empty set kichwani.
 
Shilingi inapoteza kwa dola na Tanzania imerudi katika list ya 35 POOREST NATIONS WORLD WIDE INTERMS OF DOLLARS we unasema uchumi umepaa!?
Uchumi gani uliopaa unaouona wewe!?
Kama uchumi umepaa TANZANIA INGEKUA KATIKA LIST YA MATAIFA 35 MASIKINI WA KUTUPWA DUNIANI!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…