Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

Halafu kuna WAPUUZI wanakwambia eti uchumi wa Tanzania umekua.
TANZANIA NI NCHI YA 31 MASIKINI TENA YENYE UMASIKINI KOMAVU DUNIANI.

 
Kule ndipo mahala pa kampeni, wanasiasa kila waonapo wawili watatu wamekusanyika wanajua kuna kura, hadi misibani wanafanya kampeni, ye asikute ki group cha watu anajua hapa kura zipo.
CCM hawaitaji kura wala kampeni, wanafanya ili mradi kuipitia hatua hiyo au kutimiza wajibu... Utake usitake kura ushapiga na utapiga hata bila wewe mwenyewe kujua 😊
 
Sikupingi huyu mama amewapuuza pakubwa sana watumishi wa umma
Watumishi wa umma wanatambua kuwa Rais Samia abawapenda na kuwajali sana. Kwa kuwa wanafahamu ya kuwa ni Rais Samia ndiye aliyewaongezea mishahara na kuwapandisha madaraja. Wanafahamu ya kuwa ni Rais Samia ambaye amewalipa madaraja mserereko na kuwalipa stahiki zao zote walizokuwa wanazidai.
 
kina bashiru walikua sahihi sana!
huyu mtu hana tofauti na kina wema sepetu
 
Nje ya JamiiForums Unanijua vizuri mkuu?!
 
kina bashiru walikua sahihi sana!
huyu mtu hana tofauti na kina wema sepetu
Bora sepetu anaweza tunza hata kile kijibwa huyu sasa ni debe tupu kujiremba na kuzurula ndo ajualo
 
Una mifano ya kizembe sana kama bwana Bumunda. Unawekaje mifano ya watu wa US na nyie mazumbukuku?
Watu wale wanajitambua sio kama nyie ambao hata ukiangalia tuu unajua akili ni mgando.
Nyie zenu zimefiakia hapa;
 

Attachments

  • VID-20240523-WA0005.mp4
    2.2 MB
Usanii usanii tu
Nchi ya kisani

Ova
 
Mei mosi ni upuuzi tu harmonize ndo mpango mzima
 
Washauri wenyewe wakina Steve nyerere unafiri wataacha kumshauri aende kwenye muziki na sasa wamemshauri awe anawachukua wasanii kila anaposafiri serikali Itawalipia posho na kila kitu
 
Watanzania hasa Wana CCM maisha yetu ni Sawa na maisha ya wanywa gongo maana kila siku ukinywa lazima ufumbe macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…