Unamlea binti yako vizuuuuri, halafu anakutana na furushi moja amazing 😜😜😜In most cases utapata mke mzuri akiwa amelelewa vizuri. Amefundishwa thamani yake na thamani ya wengine, aliyelelewa kwa upendo, akawa na upendo ataweza kutoa upendo, mtu hawezi kutoa ambacho hana, hii formula mbona rahisi?
Ukipata aliyelelewa kwa huruma, akawa na huruma atatoa huruma, atakuwa anakuhurumia mumewe, vivo hivyo kwa tabia zingine kama msamaha, heshima, kujitoa etc! and vice versa is true!
Mnaoverlook sana mambo mtalia kila siku!
Kesho utasikia "kwa sasa wanawake bora wa kuoa bado hawajazaliwa,". Wakizaliwa maneno yanabadilika tena, "hawa siku hizi wanazaliwa tayari hawafai"😄Katika mambo yote comments za Atoto zimenichekesha sana aisee!
Atoto anawafundisha kwa kuwamock, i wish muelewe!
Yaani hapo bado hawaja sema! 😀Kesho utasikia "kwa sasa wanawake bora wa kuoa bado hawajazaliwa". 😄
Uzuri wa jf wanawake wanawakandia wanaume wanaume wanawakandia wanawake lakini cha kushangaza sasa...eti wanagegwduana! ,🤣🤣🤣🤣Kesho utasikia "kwa sasa wanawake bora wa kuoa bado hawajazaliwa". 😄
Kwisha yeye! 😂Kesho utasikia "kwa sasa wanawake bora wa kuoa bado hawajazaliwa". 😄
Na kila siku tunaoana🤣🤣🤣Uzuri wa jf wanawake wanawakandia wanaume wanaume wanawakandia wanawake lakini cha kushangaza sasa...eti wanagegwduana! ,🤣🤣🤣🤣
Bwana wee...hatariNa kila siku tunaoana🤣🤣🤣
Mpaji Mungu yeye alishajisemea kuwa familia tusipomtafutia mke, basi hatoboi. Kwakweli wazee waingilie kati. Tatizo wazee wenyewe sasa ndio kina Grahams na akina ERoni 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Kwisha yeye! 😂
Kuna ile meme inasema turudi kwenye utaratibu wakutafutiwa mke yaishe! 🤣
Hahaha ngoja waje hao wazee uliowaita!Mpaji Mungu yeye alishajisemea kuwa familia tusipomtafutia mke, basi hatoboi. Kwakweli wazee waingilie kati. Tatizo wazee wenyewe sasa ndio kina Grahams na akina ERoni 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Aaaaah hakuna kutoboa kabisa🤣🤣🤣
We hutaki biqra?
Usimbetie kabisa mwanamke yani saa unamuonesha mapenzi ndio Kila kitu kinaharibika Hawa wanapenda uncertainty Kila wakatiWakishapata pesa na maisha ambayo walikuwa hawana wanabadilka pia,wanawake hawana formlar kabisa unaweza mnunulia gari akamtunuku penzi aliyemzibia pancha njiani
Inakuaje sipewi heshima yangu ya uzee?Hahaha ngoja waje hao wazee uliwaita!
ERoni awe wa kwanza kupewa kipaza sauti afuatie babu Grahams!
We toka hapa Gen Z kabisa wewe! 😂Inakuaje sipewi heshima yangu ya uzee?
Hivyo ni vivulana vilivyoanza balehe vinakurupukia mambo makubwa kuwazidi hata visikupe kisukari babuBado zipo?
Nashindwa kuelewa kabisa mjukuu, shida ni waoaji au waolewaji? Malalamiko kutoka Kwa wanaotarajiwa kuoa yamekua mengi sana.
Nimeona Kuna Chama kipya kimesajiliwa kinaitwa kataa ndoa, na kinavuta wafuasi balaa.
Mna nia gani😊😁Hii gemu bado mbichi kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 wazee wa hovyo.Hahaha ngoja waje hao wazee uliowaita!
ERoni awe wa kwanza kupewa kipaza sauti afuatie babu Grahams!
Sisi tena!! Sie hatuna shida kabisa malaika wa watu🤣🤣🤣🤣Mna nia gani😊😁
Hivyo ni vivulana vilivyoanza balehe vinakurupukia mambo makubwa kuwazidi hata visikupe kisukari babu
Shughuli itaanza pale mwenyekiti na katibu watakapokua na kuamua kuoa🤣🤣🤣Hivyo ni vivulana vilivyoanza balehe vinakurupukia mambo makubwa kuwazidi hata visikupe kisukari babu