Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

kama haijawahi kua nzuri kwako, hiyo ni shida yako binafsi, yafaa udeal nayo kibinafsi, lakini sio uje hapa useme ati wananchi hawajishughulishi na siasa kiundani, huo ni upotoshaji wa waz kabisa.....

Ingekua ni hivyo CCM ingepata wap ushindi wa kishindo? na kama ingekua inarudia makosa haijisahihish nani angeichagua katika kila uchaguzi?

wanaorudia makosa ni wale wanao susisa, wanaozira, wanaogomea chaguzi na kubeba fikra akilini na mioyoni mwao kwamba wanaibiwa kura kumbe hawaeleweki na hawakubaliki na wananchi ....

amani na utulivu wa waTanzania ni matokeo ya jitihada na uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali ya ccm kuhakikisha ulinzi na usalama wa watu, mali na waTanzania wote ni kipaumbele namba moja cha nchi, na kwamba shughuli za siasa, biashara, kilimo n.k zinafanyika kwa uhuru, haki usawa na kwa amani:DisGonBGud:
Katika watu wajinga na wewe umo bwashee.Hivi 2019 na 2020 kulikuwa na uchaguzi???Tuache unafiki.Bila unafiki maisha yatasonga tu.Unafiki unafaida kwa wanaonufaika tu.Na siku wanufaika wakikosa kuna tatizo ambalo hutakuja kulitatua kwa sababu unafiki unakuwa umeshapata mizizi.
 
Chama+serikali
Shuguli zote za kiserekali/taasisi zote Zinasimamiwa na kuongozwa,kuamuliwa na chama
Cha mapinduzi

Jeuri yao ndiyo iko hapo hawa

Ova
 
Pesa za kuwalipa kuandika ujinga kama huu huwa zinatoka wapi?
 
Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM).

Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo.

Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji na miundombinu vimeboreshwa na vimeimarika sana. Upatikanaji wa huduma muhimu kama vile maji, umeme, na afya ni vya uhakika maeneo mengi nchini.

Serikali madhubuti ya CCM inasema na kutenda.

Mambo yanayoendelea ndani ya vyama vingine vya kisiasa nchini, ni aibu na hali ya kukatisha tamaa kabisa.

Hawana hoja tena za kuikosoa au kushauri serikali, hawaeleweki hata wanacholalamikia, hawaelewani wao kwa wao, hawaaminiani wao kwa wao, n.k.

Cha maana zaidi kwao kwa sasa ni kwamba wanajitambulisha vizuri sana kwa migawanyiko baina yao, malumbano na mipasho isiyo na tija kabisa.

Ama kwa hakika, imani na matumaini ya Watanzania yamebaki kwa CCM na serikali sikivu yake, chini ya kiongozi mahiri sana, kipenzi cha Watanzania comrade, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. 🐒
Mkuu tatizo mnakopa sana hela, hebu kopa akili kidogo alafu uje hapa ujibu sawali langu je, hayo matumaini ,mapendo na imani ya watanzania ipo kwenye chama au kwenye miradi aliyoiacha mwendazake pamoja na uchumi wa kati wa mtu moja mmoja ?
 
Katika watu wajinga na wewe umo bwashee.Hivi 2019 na 2020 kulikuwa na uchaguzi???Tuache unafiki.Bila unafiki maisha yatasonga tu.Unafiki unafaida kwa wanaonufaika tu.Na siku wanufaika wakikosa kuna tatizo ambalo hutakuja kulitatua kwa sababu unafiki unakuwa umeshapata mizizi.
utofauti wa maoni na mtazamo juu ya mambo fulani sio unafiki hata kidogo, ispokua kama unataka kulazimisha wengine waamini unachoamini wewe, kitu ambacho si sahihi......

binafsi sibabaiki na kuitwa kivyovyote vile, kwasababu mihemko haiwezibadili ukweli amabao upo hadharani mchana kweupe kwamba imani , matumaini na mapendo ya waTanzabia walio wengi ipo CCM :pedroP:

na kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ccm itaibuka na ushindi wa kishindo sana, na uchaguzi mkuu ujao baadae2025 pia. sasa hapo unafiki unatoka wap?:pedroP:
 
sasa kwanini asubiriwe hadi astaafu kama anajulikana? ukisubiri asataafu maana yake hukua unajua chochote dhidi yake....

na kama wanalindana na nyie watakatifu si mlindane kukabiliana nao.....

marekani kuna nini cha ajabu au cha maana kuiga? :whatBlink:
😂😂😂😂😂😂Mkuu acha bas.
Kwa mifumo iliyowekwa ni ngumu sana kumshitaki kiongozi akiwa madarakani.
Au hata hili mkuu hauling'amui!?
Wanyonge hawaushika mfumo mahakama hadi tume ya uchaguzi vyote havina uhuru bali vinaendeshwa na chama tawala.
Wekeni tume huru za kimahakama na za uchaguzi halafu muone kama hawatakula za uso hao viongozi.
Marekani kuna mengi ya kujifunza mathalan UHURU WA MAHAKAMA na UHURU NA USAWA WA UCHAGUZI.
 
utofauti wa maoni na mtazamo juu ya mambo fulani sio unafiki hata kidogo, ispokua kama unataka kulazimisha wengine waamini unachoamini wewe, kitu ambacho si sahihi......

binafsi sibabaiki na kuitwa kivyovyote vile, kwasababu mihemko haiwezibadili ukweli amabao upo hadharani mchana kweupe kwamba imani , matumaini na mapendo ya waTanzabia walio wengi ipo CCM :pedroP:

na kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ccm itaibuka na ushindi wa kishindo sana, na uchaguzi mkuu ujao baadae2025 pia. sasa hapo unafiki unatoka wap?:pedroP:
Tutaona.
 
Mkuu tatizo mnakopa sana hela, hebu kopa akili kidogo alafu uje hapa ujibu sawali langu je, hayo matumaini ,mapendo na imani ya watanzania ipo kwenye chama au kwenye miradi aliyoiacha mwendazake pamoja na uchumi wa kati wa mtu moja mmoja ?
kukopa ni lazma tukope kama nchi,
ili kuimarisha huduma muhimu za kijamii kwa maslahi ya wananchi wote katika maeneo mbalimbali ya kisekta kama vile Afya, kwasababu bado kuna uhitaji mkubwa wa huduma hizo muhimu....

na kwasababu ya kuimarika sana kwa huduma hizo muhimu sana kwa wananchi mathalani maji, elimu, kilomo, fursa na mazingura bora ya biasahara, mapendo ya waTanzania kwa CCM yameongezeka mara dufu, imani na matumaini ya wananchi ni kubwa mno kadiri siku zinavyosonga :BASED:
 
Chama+serikali
Shuguli zote za kiserekali/taasisi zote Zinasimamiwa na kuongozwa,kuamuliwa na chama
Cha mapinduzi

Jeuri yao ndiyo iko hapo hawa

Ova
huo ni upotoshaji,
hakuna jeuri yoyote kuongoza chama na serikali ya wananchi wenyewe:whatBlink:
 
😂😂😂😂😂😂Mkuu acha bas.
Kwa mifumo iliyowekwa ni ngumu sana kumshitaki kiongozi akiwa madarakani.
Au hata hili mkuu hauling'amui!?
Wanyonge hawaushika mfumo mahakama hadi tume ya uchaguzi vyote havina uhuru bali vinaendeshwa na chama tawala.
Wekeni tume huru za kimahakama na za uchaguzi halafu muone kama hawatakula za uso hao viongozi.
Marekani kuna mengi ya kujifunza mathalan UHURU WA MAHAKAMA na UHURU NA USAWA WA UCHAGUZI.
anaeona hivyo unavyodhani haviko sawa ni wewe, na wachache wenzio, tumieni namna ya kidemokrasia, kisheria na hata mass actions ili kushawishi wananachi walio wengi wawaunge mkono nyinyi muwe wengi zaidi dhidi ya waTanzania wanao ona mambo yako sawa:DisGonBGud:

unalalamikia tume iliyoundwa na wananchi, mahakama ya wananchi n.k, si uwashawishi wabadili sasa?

otherwise utapiga makelele tu without impacts..:whatBlink:
 
Kwani ni lini chama kingine kilishika nchi mpka useme iman na matumani kwa sasa ni ccm?
imani, mapendo na matumaini ya waTanzania kwa chama na serikali sikivu ya ccm, ni makubwa kupindukia, isivyo kawaida:BASED:
 
anaeona hivyo unavyodhani haviko sawa ni wewe, na wachache wenzio, tumieni namna ya kidemokrasia, kisheria na hata mass actions ili kushawishi wananachi walio wengi wawaunge mkono nyinyi muwe wengi zaidi dhidi ya waTanzania wanao ona mambo yako sawa:DisGonBGud:

unalalamikia tume iliyoundwa na wananchi, mahakama ya wananchi n.k, si uwashawishi wabadili sasa?

otherwise utapiga makelele tu without impacts..:whatBlink:
Mkuu huu mjadala utasemaje napiga kelele tena!?
Una uhakika kama tume ya uchaguzi imeundwa na wananchi au CCM?
Usiseme mimi na wachache sema asilimia kubwa ya raia.
Hao raia wana ngao ipi ya wao kuweza kuitumia ili kuonesha ukweli!?
Halafu wakishaonesha ukweli mamlaka ipi itaufanyia kazi huo ukweli!?
Kama Tundulissu tu aliongea machache na kupigwa risasi raia wa kawaida wana sehemu ipi ya kuuonesha huo ukweli!?
Nasisitiza badilini katiba,wekeni mahakama huru na tume huru ya uchaguzi kesha mtaona.
 
Back
Top Bottom