kama haijawahi kua nzuri kwako, hiyo ni shida yako binafsi, yafaa udeal nayo kibinafsi, lakini sio uje hapa useme ati wananchi hawajishughulishi na siasa kiundani, huo ni upotoshaji wa waz kabisa.....
Ingekua ni hivyo CCM ingepata wap ushindi wa kishindo? na kama ingekua inarudia makosa haijisahihish nani angeichagua katika kila uchaguzi?
wanaorudia makosa ni wale wanao susisa, wanaozira, wanaogomea chaguzi na kubeba fikra akilini na mioyoni mwao kwamba wanaibiwa kura kumbe hawaeleweki na hawakubaliki na wananchi ....
amani na utulivu wa waTanzania ni matokeo ya jitihada na uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali ya ccm kuhakikisha ulinzi na usalama wa watu, mali na waTanzania wote ni kipaumbele namba moja cha nchi, na kwamba shughuli za siasa, biashara, kilimo n.k zinafanyika kwa uhuru, haki usawa na kwa amani