Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Duh. Haya mkuu. RIP wote ambao kwa maoni yako kulikuwa hakuna namna nyingine.
 
Hakuna nguvu kubwa inayopambana na JPM ndani ya nchi, kuna mtu huko anaitwa Kabendera ndo katumia nguvu akatoa kitabu chake wengine wote ni maoni na porojo tu kutokana na maudhui yake.
 
Namimi nahitaji ushahidi wa tuhuma hizi mkuu. Kipi kinakwamisha ushahidi kuletwa?
 
Umesomeka mkuu. Hizi porojo wala hazuna mashiko ni mwehu tu ndo anaweza akaziamini eti rais wa nchi kaenda na pajama kwenye mji wa mtu tena mke wa mtu. Maajabu
 
Hi nchi imeshikwa na mafisadi Kwa Sasa zitazushwa tu story za ajabu ajabu Ili kuwapumbaza raia wakati nyinyi mmedogewa na story mitaani wao waendelee kufanya ufisadi
Ni raia wajinga tu ndo watazikubali hizi story
 
Kuna vikundi ili vipotezwe nguvu ni lazima hoja kama hizi ziibuliwe upya nyakati muhimu kama hizi.
 
Upuuziwako.....!! Buku 7 ...toa .upuuzi mtupu....
 
Namimi nahitaji ushahidi wa tuhuma hizi mkuu. Kipi kinakwamisha ushahidi kuletwa?
Yaani hata ukiletwa bado maswali na hoja zitabaki pale pale. Hata Nyerere Baba wa Taifa katika siasa zake alikataza waTz Viongozi kuwa na hela benki za nje. Baadae Oscar Kambona kamuumbua kwamba anahela benki ulaya huko. Nyerere ilibidi akubali, alisema alitunga vitabu malipo yako benki za nje.

BINTI yake TB JOSHUA alishuhudia mabinti wanalia baada ya kufanyiwa kitu mbaya na Baba yake huyo binti akaongea na hao waliobakwa na pia akaenda kwa baba yake kumwambia aache hiyo tabia ,huyo binti alifukuzwa kwenye mjengo,pia nae alihojiwa na BBC, Ushahidi wake ukapuuzwa na wengi ila wengi pia walimkubali.

Yuko mmoja ambae alisema miaka kama 4 kabla TB JOSHUA hajafa kwamba yule mtumishi wa Mungu huwa anamwita chumbani kwake na huwa anakula " cone". Na alimwambia TB JOSHUA aende mahakamani kama anabisha, TB JOSHUA hakwenda mpaka alipokufa.

Ushahidi wanaotaka jamii hauwezi kutolewa kwenye FB,Jf, Youtube,mitandao au kitabu
Ushahidi unatolewa kwa kiapo mahakamani. Kitu gani kinazuia kabendera kubanwa kujibu hoja kwa vyovyote alipoandika alitegemea maswali na hoja kibao ni kama kutibua mzinga wa nyuki

Mimi naona haya kama ni mapito tu duniani, hainisaidi kwa lolote yeye JPM kama alifanya au la, kwa MUNGU ndio kwenye mtihani. Ndio maana nimekupa mfano wa TB JOSHUA amekufa lakini tuhuma kibao juu yake na wengine, wanadai amewaponya magonjwa bila yeye wangekufa.

Hizo Tuhuma hata kwa Mwamposa zinaanza kupiga hodi hata bado yu hai.
 
Mambo mazuri hayawezi kufananishwa na kuutoa uhai wa mtu like Ben wa Saanane
 
Umeelezavyema sana.
 
Kuna ushaidi wa wazi kuwa alitoa uhai?
Ben saanane yuko wapi? Hakuna kipindi taifa limeshuhudia maiti zikiwa kwenye viroba vikielea baharini kama enzi ya Dikteta Magufuli wa chato
 
Umelishwa propaganda na umejivika uwakili wa kinafki unaheshimika unajua? heshima sio sababu ya maoni yako maoni yako ila kwa unafiki unaojaribu kuuonyesha
 
Hii kauli ya kutetemeka hadi chini niliisoma nikajikuta Natetemeka hadi Simu yangu inadondoka chini. It is so emotional
 
Sahihi mkuu lakin ni azima tuseme kweli tusipelekwe na mehemko ya watu wachache ambao maslahi yao binafisi yalibinywa katika utawala wa jpm na kuanza harakati zisizo na faida.
Ktk watu walipotea walikuwa na maslahi gani ambayo wewe unahisi walikuwa nayo.

Mimi naona mafisadi alikuwa nao ofsini na kwenye mawizara, na mataaisi, hata alipoondoka aamebaki wapo tu na wataendelea kuwepo tu.

What a missed Target?
Sasa Kabendera au Lema alikuwa na maslahi gani kwenye sseikali ya ccm?
Mahakama ya uhujumu uchumi imemhukumu Fisadi gani zaidi ya kutumia kutesea watu tena wasio na madhara yoyote.

Askofu Kakobe alikuwa na maslahi gani?
Tanzania tunabahati mbaya sana tunapata Rias Shupavu kama Magufuli lakini Ghafla bin vuu anakosa mwelekeo na kuanza kupamba na watu binafsi badala ya lengo
 
Wewe ni muuaji pia unaona ni sawa yaliyokuwa yanafanywa na mwendazake.
 
😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…