Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh. Haya mkuu. RIP wote ambao kwa maoni yako kulikuwa hakuna namna nyingine.Pamoja na yote baadhi ya watu walistahili kukutwa na yaliyowakuta kipind cha JPM.
Ni wachache Sana walionewa.
Hii nchi imejaa watu wa hovyo Sana na ili kiongozi aweze kuibadili na kuleta maendeleo ni lazima mkono wa chuma utumike.
Naweka hapa baadhi ya mnaoona walionewa.
1. Kipind cha JPM watumishi wa umma kutoongezwa mishahara hawakuonewa maana hili kundi Kwa asilimia kubwa halitimiz majukum ipasavyo .
2. Vyama vya Upinzani kudhibitiwa kipind cha JPM ilikuwa Sawa tu maana tulivyonavyo nchini si Vyama Bali ni magenge ya wenye akili wachache wanaotumia ujinga wa Watanzania kujinufaisha.
3. Erick Kabendera alitumia kalamu yake vibaya kuandika Mambo yasiyonufaisha nchi. Hata hivyo Zaid ya kuwekwa kizuizin hakuna alichotendewa
4. Jaribio la mauaji ya Tundu Lissu. Ukweli ni kwamba utawala ule ulichoshwana chokochoko za Lissu. Hawakuwa na options zingine Zaid ya kujaribu kumuua maana Lissu huwez kumshinda kisheria.
5. Ben Saanane. Hoja yake kuhusu PhD ya JPM ililenga kutaka kumdhalilisha JPM Kwa maslahi yasiyojulikana. Hakustahili kuuwawa lakin kitendo cha Ben Saanane kilistahili adhabu ,, je JP< angefanya nin maana asingeweza kumpeleka mahakani.
Tufahamu sote kwamba Katiba yetu imempa Rais mamlaka makubwa Sana hvyo unapoanzisha mgogoro binafsi na mtu aliye juu ya sheria basi angalau iwe ni Kwa maslahi mapana Sana na ya waziwaz ya taifa.
Hakuna nguvu kubwa inayopambana na JPM ndani ya nchi, kuna mtu huko anaitwa Kabendera ndo katumia nguvu akatoa kitabu chake wengine wote ni maoni na porojo tu kutokana na maudhui yake.Nguvu Inayotumika Kupambana na Jina la Marehemu Ingetumika Kuipambania Nchi Ingesaisia Kupunguza Shida Hata 45% za Watanzania.
Huu upepo wakila Mjinga Magufuli Magufuli Utawapa Aibu
Mwamba Kajipumzikia na sote Njia Nihiyo hiyo hakuna Atakaye Ishi Milele.
Namimi nahitaji ushahidi wa tuhuma hizi mkuu. Kipi kinakwamisha ushahidi kuletwa?Uko sahihi mkuu. TB JOSHUA wa Nigeria aliaminika sana kama Nabii Mkuu na marais na wafalme walienda kwake,ikiwa ni pamoja na JPM na Lowassa, kumfuata kwa ushauri na kuombewa, baadae BBC wakatoa documentary kuonyesha alivyokuwa tapeli na bingwa wa kubikiri vibinti na mbakaji mzuri. Waliobakwa walitoa ushahidi pia, wengi waliamini kweli ni Nabii Feki na wengi wakaamini anachafuliwa tu kwa wivu, kanisa lake SCOAN linaendelea kama kawaida huko wengine wakidai kuota maono kutokewa na TB JOSHUA.
Umesomeka mkuu. Hizi porojo wala hazuna mashiko ni mwehu tu ndo anaweza akaziamini eti rais wa nchi kaenda na pajama kwenye mji wa mtu tena mke wa mtu. MaajabuNimechagua kusimama na the late. Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Kuongoza nchi, ni kazi kubwa sana, sijawahi kuongoza nchi wala kuwa kiongozi mawandamizi, lakini nafahamu kuongoza over 50+ cloud ni kazi inayohitaji, DAMU, JASHO NA MACHOZI.
Serikali kuu (hasa ofisi kuu ya taifa, ofisi namba moja ya taifa) ni taasisi, siyo mtu mmoja. Urais siyo mtu mmoja ni taasisi kubwa ambayo ina kila kitu.
Serikali ya nchi yoyote inaweza kuuwa, kushikilia watu kwa siri, hakuna sehemu katika katiba hivi vitu vimeandikwa. Niamini mimi kuwa hivi vitu vipo na vinafanyika kila nchi, hata ile nchi inayotumia mtawala wa kidini (pope) hivi vitu hufanyika.
Angalieni series ya Tylor inaitwa THE OVAL (Ameongelea white house ya Marekani), baadhi ya matukio ya mauaji yamefanyika in the name of the oval (white hoise ya marekani), wakati ambao hata mkuu wa oval(Rais) hafahamu.
Nenda ukaangalie series ya kikorea inafundisha kuhusu uongozi na namna ya kudeal watu wanaoweza kuangusha serikali inaitwa SHINE OR GO CRAZY.
Machepele, kwa sasa nipo
Nzela, Geita Tanzania.
Ni raia wajinga tu ndo watazikubali hizi storyHi nchi imeshikwa na mafisadi Kwa Sasa zitazushwa tu story za ajabu ajabu Ili kuwapumbaza raia wakati nyinyi mmedogewa na story mitaani wao waendelee kufanya ufisadi
Upuuziwako.....!! Buku 7 ...toa .upuuzi mtupu....Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.
Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.
Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.
Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.
Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?
Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?
Yaani hata ukiletwa bado maswali na hoja zitabaki pale pale. Hata Nyerere Baba wa Taifa katika siasa zake alikataza waTz Viongozi kuwa na hela benki za nje. Baadae Oscar Kambona kamuumbua kwamba anahela benki ulaya huko. Nyerere ilibidi akubali, alisema alitunga vitabu malipo yako benki za nje.Namimi nahitaji ushahidi wa tuhuma hizi mkuu. Kipi kinakwamisha ushahidi kuletwa?
Mambo mazuri hayawezi kufananishwa na kuutoa uhai wa mtu like Ben wa Saananekuwa kiongozi wa watu zaidi ya milioni 60 sio kazi ndogo, inapobidi kuuwa wachache kwaajili ya wengi ni sahihi kama kiongozi. Kwajinsi nchi hii ilivyo kama nikweli basi Mungu atamsamehe Magufuli huko aliko kwa kuchomoa samaki wachache waliooza kwenye friji ili samaki wengi nao wasioze.
Lolote litakalosemwa kuhusu Magufuli haliwezi kufunika mazuri mengi aliyoyafanya kwenye nchi hii.
Umeelezavyema sana.Yaani hata ukiletwa bado maswali na hoja zitabaki pale pale. Hata Nyerere Baba wa Taifa katika siasa zake alikataza waTz Viongozi kuwa na hela benki za nje. Baadae Oscar Kambona kamuumbua kwamba anahela benki ulaya huko. Nyerere ilibidi akubali, alisema alitunga vitabu malipo yako benki za nje.
BINTI yake TB JOSHUA alishuhudia mabinti wanalia baada ya kufanyiwa kitu mbaya na Baba yake huyo binti akaongea na hao waliobakwa na pia akaenda kwa baba yake kumwambia aache hiyo tabia ,huyo binti alifukuzwa kwenye mjengo,pia nae alihojiwa na BBC, Ushahidi wake ukapuuzwa na wengi ila wengi pia walimkubali.
Yuko mmoja ambae alisema miaka kama 4 kabla TB JOSHUA hajafa kwamba yule mtumishi wa Mungu huwa anamwita chumbani kwake na huwa anakula " cone". Na alimwambia TB JOSHUA aende mahakamani kama anabisha, TB JOSHUA hakwenda mpaka alipokufa.
Ushahidi wanaotaka jamii hauwezi kutolewa kwenye FB,Jf, Youtube,mitandao au kitabu
Ushahidi unatolewa kwa kiapo mahakamani. Kitu gani kinazuia kabendera kubanwa kujibu hoja kwa vyovyote alipoandika alitegemea maswali na hoja kibao ni kama kutibua mzinga wa nyuki
Mimi naona haya kama ni mapito tu duniani, hainisaidi kwa lolote yeye JPM kama alifanya au la, kwa MUNGU ndio kwenye mtihani. Ndio maana nimekupa mfano wa TB JOSHUA amekufa lakini tuhuma kibao juu yake na wengine, wanadai amewaponya magonjwa bila yeye wangekufa.
Hizo Tuhuma hata kwa Mwamposa zinaanza kupiga hodi hata bado yu hai.
Kuna ushaidi wa wazi kuwa alitoa uhai?Mambo mazuri hayawezi kufananishwa na kuutoa uhai wa mtu like Ben wa Saanane
Ujinga bila reasoningHata wanao shadadia ni kuwa nikweli naona wazi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Haingii akilini uende kwa mtu na kiongozi mwenzio na kaolewa pia kuna ulinzi zaidi ya yote uende na pajama daaah
Ben saanane yuko wapi? Hakuna kipindi taifa limeshuhudia maiti zikiwa kwenye viroba vikielea baharini kama enzi ya Dikteta Magufuli wa chatoKuna ushaidi wa wazi kuwa alitoa uhai?
Hii kauli ya kutetemeka hadi chini niliisoma nikajikuta Natetemeka hadi Simu yangu inadondoka chini. It is so emotionalMimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.
Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.
Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.
Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.
Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?
Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?
Ktk watu walipotea walikuwa na maslahi gani ambayo wewe unahisi walikuwa nayo.Sahihi mkuu lakin ni azima tuseme kweli tusipelekwe na mehemko ya watu wachache ambao maslahi yao binafisi yalibinywa katika utawala wa jpm na kuanza harakati zisizo na faida.
Wewe ni muuaji pia unaona ni sawa yaliyokuwa yanafanywa na mwendazake.Pamoja na yote baadhi ya watu walistahili kukutwa na yaliyowakuta kipind cha JPM.
Ni wachache Sana walionewa.
Hii nchi imejaa watu wa hovyo Sana na ili kiongozi aweze kuibadili na kuleta maendeleo ni lazima mkono wa chuma utumike.
Naweka hapa baadhi ya mnaoona walionewa.
1. Kipind cha JPM watumishi wa umma kutoongezwa mishahara hawakuonewa maana hili kundi Kwa asilimia kubwa halitimiz majukum ipasavyo .
2. Vyama vya Upinzani kudhibitiwa kipind cha JPM ilikuwa Sawa tu maana tulivyonavyo nchini si Vyama Bali ni magenge ya wenye akili wachache wanaotumia ujinga wa Watanzania kujinufaisha.
3. Erick Kabendera alitumia kalamu yake vibaya kuandika Mambo yasiyonufaisha nchi. Hata hivyo Zaid ya kuwekwa kizuizin hakuna alichotendewa
4. Jaribio la mauaji ya Tundu Lissu. Ukweli ni kwamba utawala ule ulichoshwana chokochoko za Lissu. Hawakuwa na options zingine Zaid ya kujaribu kumuua maana Lissu huwez kumshinda kisheria.
5. Ben Saanane. Hoja yake kuhusu PhD ya JPM ililenga kutaka kumdhalilisha JPM Kwa maslahi yasiyojulikana. Hakustahili kuuwawa lakin kitendo cha Ben Saanane kilistahili adhabu ,, je JP< angefanya nin maana asingeweza kumpeleka mahakani.
Tufahamu sote kwamba Katiba yetu imempa Rais mamlaka makubwa Sana hvyo unapoanzisha mgogoro binafsi na mtu aliye juu ya sheria basi angalau iwe ni Kwa maslahi mapana Sana na ya waziwaz ya taifa.
😡Pamoja na yote baadhi ya watu walistahili kukutwa na yaliyowakuta kipind cha JPM.