Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Enzi za vya bure zimeisha 😂😂
 
Na bado kwanza serikali angalieni na mafundi mbalimbali yaani juzi tuu hapa fundi kanikamua 1,000,000 eti kujenga msingi na nyumba usawa wa Renta huku hajalipa kodi yoyote

Hamuoni mnapoteza mapato ,wapenzi leseni za kazi hao,kwa sasa hawalipi kodi ila utasikia nao wanalilia eti bei ya miamala iko juu,pumbavu sana
 
Watakuondoaje wakati hujatumia ila umeweka
 
Mzee unachomaa
 
Tanesco mimi wamenitesa sana miaka yote hii tang 2016 nauziwa 2.9 unit kwa 1000.. alaf matumiz yangu ni madogo mnooooo yan ni madogo sana... Sjawahi kuona nikiuziw umeme kwa bei ya 8 unit kw buku aseh noma sana
 
Weka akilini kuwa kati ya mashirika ambayo hayakitoa hesabu ili zikaguliwe na CAG ni tanesco. Hiki ni kijiwe cha lile genge linaloishi kianasa kwa jasho la walala hoi.
Tanesco wanatafuta namna ya ku cover wizi wa watawala kupitia shirika.
Katiba mpya ndio mwarubaini.
 
Maendeleo hayana chama
 
Ila hujajibu hoja inayojadiluwa.
 
Ukiona umenunua mara mbili mbili namna hiyo kimya kimya ujue umesevu, kuwa na amani.

Huwaga hairembi wala haikatai hiyo kitu, ukijichanganya tu, haina mjadala, utakuta inatema roller zima la karatasi ya risiti kukuelekeza kwenda kubadili system na inakuwa imeshatoka hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani nyingi kwenu kwa kuliweka hili sawa.

Matango pori yalishaanza kutuletea hofu
 
Wa mjini ambao hawazidi unit 75 kwa nini hawashuki automatically??

Tunanunua umeme bei ghali sana aisee, yaani unit 70 tunanunua kwa shilingi elfu 25, hali mbaya!
Mimi Toka april 22 hadi Leo nimenunua unit 40. Kwa bei ya 15,000

Wakati ningetumia 4000-5000
 
Nadhani ifike sehemu muweke wazi haya mambo. Jana nlipotaka kununua umeme ukagoma had nlivyoenda kwa wakala mkuu akasema watu wa mijini wanaondolewa kwenye hyo tariff zero.kweli jana nlinunua umeme nkapata unit chache....na sinawahi vuka matumizi ya kiwango walichoweka
 
Ukifanya hivyo kwa miezi mitatu nafikiri watakuondoa
 
Tafadhali weka namba yako ya mita tukujibu kwa taarifa kamili
nyinyi waheshimiwa wa Tanesco hamko sahihi mimi nina mita tangu niwekewe umeme haijawahi kuzidi unit 75 lakini sijawahi kupata hiyo tariff 0 sijui inakuwaje naambatanisha na mita namba 43001626902
 
nyinyi waheshimiwa wa Tanesco hamko sahihi mimi nina mita tangu niwekewe umeme haijawahi kuzidi unit 75 lakini sijawahi kupata hiyo tariff 0 sijui inakuwaje naambatanisha na mita namba 43001626902
Jamani, muwe mnasoma post zote zilizotangulia, kabla ya kuongeza yako! Imefafanuliwa hapa, hakuna kitu hicho kiitwacho TARIFF O!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…